Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

Nawashangaa wanaosumbuka kukuelewesha. kumfundisha mwanafunzi aliyemezeshwa matango pori kama wewe ni shida. Kwaheri mkuu.
Sasa huo uelewa wako si uuoneshe hapa? Ninachelea kusema kuwa wewe ni mbumbumbu. Samahani lakini ndugu. Kwa sababu dalili zote zinaonekana.

Badala ya kujadili mada unanijadili mimi.
 
haya sasa tushakuwekea katiba ya vyama inayowapa mamlaka ya kufanya mikutano ya kisiasa,,,,,,,

WEKA IBARA INAYOMPA MTUKUFU KUFUTA MIKUTANO YA KISIASA KWA MAMLAKA ALIYONAYO.
Katiba za vyama zinahusu wanachama katiba ya nchi inahusu nchi nzima.

Na unasema umeweka katiba ya chama ipo wapi?
 
Katiba za vyama zinahusu wanachama katiba ya nchi inahusu nchi nzima.

Na unasema umeweka katiba ya chama ipo wapi?

tushakuwekea post namba #34 unajichengesha tu.

HIVI MTUKUFU HAKUPITIA KTK NGAZI YA CHAMA?

WEKA VIFUNGU HIVYO VINAVYOMPA MAMLAKA MTUKUFU KUFUTA MIKUTANO YA KISIASA
 
tushakuwekea post namba #34 unajichengesha tu.

HIVI MTUKUFU HAKUPITIA KTK NGAZI YA CHAMA?

WEKA VIFUNGU HIVYO VINAVYOMPA MAMLAKA MTUKUFU KUFUTA MIKUTANO YA KISIASA

Post ya #34 ni hii hapa au unaongelea ikoje?
 
Kwa hapo sasa wanaotukana humu wataanza kupwaya maana walishazoea copy and paste za Tindu lisu ambapo ukimpeleka kwenye analysis anatoka ziro na anashindwa kutetea
Ndiyo maana hafurukuti mbele ya Tulia anabaki kumtukana tuu Lissu ni domo kaya tuu
 
kama hauna abcs za sheria huwezi kuelewa mada hii, CHADEMA wameumbuka kwa kiasi kikubwa. Kwa harakaharaka Tamko la rais ni sahihi na katazo la POLISI ni sahihi hata kama wangeacha maandamano na kwenda mahakamani bado rais na jeshi la polisi wako sahihi mapaka itakavyo amriwa vinginevyo na hata kama ingeamriwa vnginevyo bado kungetakiwa marekebisho tu na siyo kubatilisha lolote
 
kweli uwenda akawaruhusu [emoji38] [emoji38]
 
Uwa naamini katika mwisho namini kila falme kandamizi zitadondoka maana haki ina upana mkubwa wa kutafsiliwa na kupimwa kama inatendeka muda bado siku Mungu pekee anajua..
 
Uwa naamini katika mwisho namini kila falme kandamizi zitadondoka maana haki ina upana mkubwa wa kutafsiliwa na kupimwa kama inatendeka muda bado siku Mungu pekee anajua..
Nadhani unafikiria ifikapo mwaka 3000.
 
Nimeanza kukuuliza hapa nipe ibara aliyotumia rais kupiga marufuku mikutano ya kisiasa, hujanipa.
Ukinipa ibara hiyo, nitakupa aliyoivunja Magufuli.
Unaweza kunipa ibara hiyo?

UMEMJIBU HUYO JAMAA HAPO.
Hajanijibu na wala hawezi kunipa hicho kifungu in the asked context.

Kwa sababu hakipo.
 
Sasa huo uelewa wako si uuoneshe hapa? Ninachelea kusema kuwa wewe ni mbumbumbu. Samahani lakini ndugu. Kwa sababu dalili zote zinaonekana.

Badala ya kujadili mada unanijadili mimi.
Asante kwa darasa mkuu. Utaumiza kichwa kujibu kila ubishi. Darasa ulilotoa Kama bado watu wanaleta ubishi, ni kwa sababu wanataka kubisha tu
 
Mkuu unajua katiba ni kama bible watu wengi wanaisoma kmeet their own interest, lakini kumbe ni pana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…