Ahsante mkuu! Mchana mwema pia.Mchana mwema
wamekuudhi sana inaonekanaUnachozungumza ni kweli hapa nilipo najuta kujiunga na hiki kifurushi cha kipumbavu cha royal bundle Mavi Yao @halotel
Na TTCL sai wana vifurushi ka hawa Halotel kwa T-Pesa ni vizuri sana...! Afu bundle ya TTCL inakaaga sio ka hawa wahuni...Wana kifurushi chao wanakiita MEGA bando unakinunua kupitia Halopesa, kipo vizuri Sana
Kweli Mkuu wanazingua sana jamaa,kuna muda nilidhani sehemu nilipo ndio kuna shida,nikaenda sehemu nyingine bado mtandao upo slow,hawafai siku hizi hawa.Salaam,
Halotel walivyoanzisha Royal Bundle Offer ilikuwa Simple, Lipia kuanzia Elfu 10 Kwa mwezi utapata 2GB + 1.5GB high speed, kisha utaendelea na unlimited internet kwa speed iliopunguzwa.
Miezi ya mwanzo ilikuwa vizuri hata baada ya speed kubwa kuisha ulikuwa unapata transfer rate ya 60 - 70 KB/s ambayo ilikuwa usable, kazi ndogo ndogo na streaming kwa low quality unafanya bila matatizo, hii ilikuwa nzuri sana kwa sisi tunaopenda kusoma online....
Naona baada ya wadau kuongezeka, uchu ukazidi, wakapata tamaa ya wanaopata makampuni mengine na mwishowe kuiharibu. Wamepunguza speed MNO yani sasa ni PRACTICALLY UNUSABLE, Simple Images tu inazingua kuload?!? Imekuwa straight up UTAPELI. Maana nilikuwa tayari niweke kila mwezi 10,000 x 12 = 120,000/= yangu wangechukua kwa mwaka mzima, lakini kwa sababu ya uchu wao wateja wengi mimi nikiwemo tutawakimbia.
Ushauri wangu: Wekeni mambo vizuri wateja mtapata. Mkiwa fisi na kutaka kutapeli wateja wenu, mtaishiwa kulalamikiwa na kukimbiwa (kifupi mtakuwa mpo mpo kama Zantel). Kwa wale wanaotaka kujiunga Royal Bundle, Bora mtumie hiyo 10,000/= Kununulia 10GB kwenye mitandao mengine kuliko utapeli huu wa spidi za kobe aliyeumia baada ya GB3.5 kuisha.
Mchana mwema
Hiki kifurushi ukiwa na laini ya Halotel 4G kipo open tu kwenye vifurushi vya internet haina haja ya Halopesa...!Mimi Napata GB 7 Week 1 Kwa Tshs 5000, Nikijiunga Kwa Mwez Natumia Elfu 20 Kwa Ajili Ya MB,
Na Sipati Usumbufu WowoteKwa Hao Halotel, Kama Unaweza Jiunge Hii 7GB Per Week @5000 Ipo Kwa Halopesa.
Nilichogundua UkisikiaKitu ChaOfaKina Matatizo
hiki ndicho kifurushi chao poa kwa sasa...sema sio kila mtu anaweza kuspend 20k kila mwezi kwa internet pekee mzee.Mimi Napata GB 7 Week 1 Kwa Tshs 5000, Nikijiunga Kwa Mwez Natumia Elfu 20 Kwa Ajili Ya MB,
Na Sipati Usumbufu WowoteKwa Hao Halotel, Kama Unaweza Jiunge Hii 7GB Per Week @5000 Ipo Kwa Halopesa.
Nilichogundua UkisikiaKitu ChaOfaKina Matatizo
naona wanaitangaza sana kwenye page yao ya FBHamna kitu haya hiyo 4G yao majanga ndo kwanza hata hawajaizindua
Mimi pia nitawakimbiaSalaam,