Hivi hiyo kuhack unafanyeje? Maana mie naitaka sana kujua jins ya kuhack hasa accaunt za mitandao za my wife.
namruhusu pia a hack site yangu
Welcome to Joe Nyandigira's Official website. aweke chochote anachotaka ili niamini. nampa mwezi iyo homework. akiweza anidai laki
Wenye site sizizo ingilika hawasemi na wala hawajisifu, kwasababu wanajua hakuna system iliyo kamilika 100%. na 99% inatosha kwa hacker mzuri kupenya.
Watu wanatoboa hadi kwenye site za CIA iweje yako ishindikane>>
Kuna council ya ethical hacking ipo Mexico,nenda kasome huko,uwe certified hacker,ndo uje na thread yako,na hutakuwa umelipwa hzo,utazungumzia payment ndefu zaidi!
.
Ume m term mwenzako vibaya wewe
.
Hamaanishi kwamba haiingiliki
.
Ila kaungalia uwezo wa shiny c ndo mana kampa kazi hiyo yeye
.
Sio wote
.
.
shiny c anamjua? nafikiri haya mambo hayapimwi kwa namna hii...
.
Upo sahihi
.
Ila muulize joe mwenyewe
.
Hivi hiyo kuhack unafanyeje? Maana mie naitaka sana kujua jins ya kuhack hasa accaunt za mitandao za my wife.
C++ , mfano ukaamua kuingia katika hiyo site na kuingusha ndani ya hiki kipindi ambacho amempa, Shiny C akija sema yeye ndio ameidondosha utamkataliaje? site yenyewe aliyo iweka sasa ivi haipo hewani
Mkuu, mbona umepanic, sijasema site zote, nimesema utapata nyingi tu...wickerman hiyo website ipo vulnerable kwa html cross site scripting na sio site zote za hiyo cgi uliyosearch google ndo zipo vulnerable kwa hii njia jaribu kuingiza html code yoyote utayoijua then ncheki
...naomba nikupe account yangu yoyote then ui hack, na tukubaliane, ukishindwa u must me, na ukishinda i will pay u, muda nao utahusika
Wenye site sizizo ingilika hawasemi na wala hawajisifu, kwasababu wanajua hakuna system iliyo kamilika 100%. na 99% inatosha kwa hacker mzuri kupenya.
Watu wanatoboa hadi kwenye site za CIA iweje yako ishindikane>>
yangu inaingilika kwa iyo nataka aniaminishe kuwa yeye ni hacker. pia nitampa hela kwa kuweza hilo