Jinsi gani ya ku-host website, naomba msaada

Jinsi gani ya ku-host website, naomba msaada

Kuiweka website yako online unahitaji vitu viwili, domain na hosting. Hosting account itakuwapa credentials za FTP au unaweza kutumia web filemanager kuupload website yako ambayo itaonekana kutia domain yako.

Domain - Ni jina mfano. yatosha.com yatosha.xyz e.t.c
Hosting - Uhifadhi wa mafaili ya website yako katika web server
 
Inonesha huyu jamaa hata hajui kufuatilia post humu.
 
Poa Ngoja Nijaribu Huko Labda Na Weza Pata Ufumbuzi
Ndugu kuokoa muda wako badala ya kujifunza the hard way tafuta mtu ambaye anafahamu hicho kitu akusaidie.Kuna mambo mengine ni magumu kumfundisha mtu kwa kuandika mnahitaji phisical contact.Unaweza ukajua kweli ila imekuchukua muda gani,please care about your time.
 
Back
Top Bottom