Jinsi gani ya ku-host website, naomba msaada

Jinsi gani ya ku-host website, naomba msaada

MAJANGAMAJANGA

Senior Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
179
Reaction score
93
Habari zenu wana jamvi,

Nnaombeni mnisaidie nimitengeneza website yangu kwenye notepad kwenye sula la kuhost ndio majanga yenyewe hivi ni hosters gani wana host freeee?

Jamani naombeni mnisaidie kuhusu hili nitshukuru Sanaaaa.
 
kama una google chrome tumia hostinger.ru ni ya kirusi ila chrome itapeleka kingereza kwa kutumia google translate.

Wana speed sana hao jamaa then sio wazingulizi na ndio mama wa free hosting nyingi.

Ukifanya registration ukimaliza utalogin utatengeneza acount chagua free subdomain

then kwenye panel yako utakuta kitu kimeandikwa import/upload website utaclick watakwambia upload site yako na usually watataka website yako uwe umeifunga kwenye zip file.

Kama hujui kufunga site kwenye zip useme utasaidiwa.

Website nyengine za bure unazoweza kutumia.

-ilovetz.com
-serversfree.com
-nazuka.net
-50mbhost (kama una domain)

Kama utaweza na website ikakaa fresh na mafanikio its better ukahamia paid hosting zipo za hadi 20,000 kwa mwaka pamoja na domain ya bure.

Best paid hosting ni kama.
-godaddy
-hostinger
-tsohost
-50mbhost
 
Nimetengeneza Website Yangu Kwa Kutumia Code Za Html Na Imekamilika.Lakini Sijui Nifanyajefanyaje Ili Iwe Kwenye Internet Ili Kila Mtu Aione.

Anayejua Naomba Anielekeze Maana Nime Google Ili Nijue Lakini Nimeshindwa Kupata Maelezo .

NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU
 
What did you google?
 
Unahitaji kui-host aidha kwa kulipia au bure.
 
Nimetengeneza Website Yangu Kwa Kutumia Code Za Html Na Imekamilika.Lakini Sijui Nifanyajefanyaje Ili Iwe Kwenye Internet Ili Kila Mtu Aione.

Anayejua Naomba Anielekeze Maana Nime Google Ili Nijue Lakini Nimeshindwa Kupata Maelezo .

NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU
Paje atakusaidia kwenye hilo swala.
 
Last edited by a moderator:
Nimetengeneza Website Yangu Kwa Kutumia Code Za Html Na Imekamilika.Lakini Sijui Nifanyajefanyaje Ili Iwe Kwenye Internet Ili Kila Mtu Aione.

Anayejua Naomba Anielekeze Maana Nime Google Ili Nijue Lakini Nimeshindwa Kupata Maelezo .

NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU

Hatua za kuweka website kwenye internet (web hosting) ni kama zifuatazo.

- Tafuta kampuni inayofanya web hosting.

-Pitia bei zao na uone ipi inakufaa kulingana na mahitaji yako na ukubwa wa web files zako.

-Pendekeza jina -URL ya website yako .mfano www.jamiisample.com. uangalie kama hilo jina liko wazi yaani halijatumika,.

-Fanya malipo kwenye hiyo hosting company.

-Baada ya muda kidogo watakutumia CPANEL and FTP login details.

-From there wewe utapandisha mafaili yako kwenye domain yako kwenye directory ya www or public_html or http_docs.

Umemaliza kazi.
 
Kupandisha website najua lkn, kutengeneza pia najua, lkn kutengeneza kwa kutumia code za html sijui, naomba kujua unawekaje code, hiyo ni stage ya kitaalam sana kuliki kuioandisha.
 
kupandisha website najua lkn, kutengeneza pia najua, lkn kutengeneza kwa kutumia code za html sijui, naomba kujua unawekaje code

Unapotumia i.e dreamweaver au frontpage au kompozer au artisteer hapo ndipo unapotumia html code pengine bila wewe kujua. kwasababu ukiwa kwenye design view code hazionekani.

Wewe unatumia program gani?
 
Mimi Ni Mwanafunzi Wa Chuo Nipo Kwenye Project Hivi majuzi niliwauliza ya kwamba Nimetengeza Website Yangu Kwa Kutumia Code Za HTML sasa nataka kuiweka ONLINE.

Nikauliza yoyote anaye jua jinsi ya kuiweka website online anisaidie lakini naona mnachuna tu JIsui mnataka nipate supplementary kwanini tunafanyiana hivi .kila siku na hangaika ku google bila mafanikio.

NISAIDIENI WAKUU.
 
Google web hosting sites.... Ukitaka kujua how to....

Nenda youtube andika how to host a website ukikoasa leta mrejeshonyuma.
 
Google web hosting sites....ukitaka kujua how to....nenda youtube andika how to host a website ukikoasa leta mrejeshonyuma.

Ngoja Nijaribu Tena. Maana Nimefanya Hivyo Kwenye Hosting Moja Nika Sign Up.Lakini cha ajabu link za kuweka vitu vyangu siiona.

Naona Matangazo Yao Tu Kila Niki Login.
 
Avatar yako inaonyesha umesoma sayansi kimu, computer wapi na wapi?
 
Umesoma post #7 au? Hata kushukuru haujashukuru waluokushauri unalalamika duh!

Haya umepewa links juu hapo cheku.

Ila kama haujui nini ufanye kabisa bora useme au uombe one to one help na kufata steps usaidiwe humu. Sio kulalamika, bora kusema hauwezi au auelewi ili watu wapate moyo kuwa wanakujibu.

Be patient
 
Back
Top Bottom