icoderz
Senior Member
- Mar 9, 2014
- 135
- 83
Wana JF ni matumaini yangu wote mpo fresh kabisa.
Wakuu nimenunua 1TB hard drive kwa ajiri ya my 4 year old desktop computer na nataka kuibadilisha hii desktop kuwa WEB SERVER.
Dhumuni langu ni kuset up email and PHP/MySQL/Apache so I can create dynamic websites, lakini vile vile nataka kurun it as VPN au firewall just to get my hands dirty with IT/Network security skills. Sasa concern yangu ni kwamba, siko sure kama naweza kufanya yote haya at once.
Im open minded na ningependa kusikia other great ideas kutoka kwenu wataalam wa IT and others on this.
Please Note: This is just for fun and to learn/play around.
Nawasilisha.