Jinsi gani nitaweza ku bypass BIOS password ya Macbook Air

Jinsi gani nitaweza ku bypass BIOS password ya Macbook Air

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Toka nimenunua laptop yangu sijawahi kubadilisha kitu chochote, nilipatwa na tatizo wakati na edit video space ikawa ndogo nikafanya full format ili nianze upya. Sasa inauliza BIOS password na inaleta icon ya folda na alama kiulizo

Kama kuna mtu alishapata hili tatizo naomba tusaidiane
 
Back
Top Bottom