decomm
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 726
- 668
Heshima kwenu wadau.
Laptop tajwa hapo juu ina password kwenye BIOS ambayo hp huiongezea.
Nahitaji kui bypass nimekwama.
Nilikuwa naijua trick ya kutoa battery na ku disconnect CMOS battery kwa muda then unarudisha Cmos na ac power bila kuweka battery. Njia hii imegoma.
Nisaidieni mawazo kwa mwenye kujua njia nyingine muafaka.
Laptop ni halali, mtumiaji alifanya setting za hp embeded security bila kuzingatia nywila aliyoweka. Ameisahau. Ameniomba nimsaidie.
Please help.