Jinsi gani nita hack account ya facebook au gmail

Jinsi gani nita hack account ya facebook au gmail

Ntapost namna ya kuhack account ya facebook..gmail hapana sifahamu ..ni PM jina unalotumia fb then ntakuhack uje uwahadithie hapa then ndo ntakuambia nimefanya vp
 
Nitaku-PM yangu tufanye majaribio.

Ntapost namna ya kuhack account ya facebook..gmail hapana sifahamu ..ni PM jina unalotumia fb then ntakuhack uje uwahadithie hapa then ndo ntakuambia nimefanya vp
 
Chimbuvu na wengine mnaojua Ku_hack mi nawapa Heshima yenu.
 
kiukweli kuhack fb ni kazi si mchezo mi najua kama mtu unayetaka kuhack account yake alishawahi kutumia hiyo computer ambayo unaitumia wewe
 
Ntapost namna ya kuhack account ya facebook..gmail hapana sifahamu ..ni PM jina unalotumia fb then ntakuhack uje uwahadithie hapa then ndo ntakuambia nimefanya vp
una hamu ya kula ban, maana leo umekuja kunichokoza hehehheeee
 
Mimi nafikiri jukaa hili nilikujadili maswala ya msingi na yennye maendeleo kwa umma na si mahali pakufundishana uharifu.Pengine watu wengine humu hawajui, Hacking is crime offence
 
Toa sababu 10 za muhimu kutaka kuHack nikiridhishwa nazo nitakusaidia

Ntatoa sababu zaidi ya 10 ikiwa utathibitisha kunisaidia.(sio kuhack acount ya mtu bali ni ya kwangu mwenyewe sema nlisha sahau password na mambo mengine. Ninahisi friend request zitatakuwa nyingi mpaka sasa) kama uko tayar niambie nikuchek PM. Thanks
 
Mkuu unajua maana ya ku Hachk?? Unaweza rudisha account yako ya FB bila kuhusisha any Hacking Mkuu
 
mtoa mada unapoteza muda wako bure

facebook account sio rahisi ku hack kama unavyodhani

sio rahisi kama kuhack hizi
website za kina masharobaro sijui
g5 click sijui madudu gani

labda mtu huyo asomee mit huko
usitegemee mtu asomee
sinon college au datastar college ya kariakoo
halafu aje a hack thubutuuuuuu
 
Tehe tehe
 
Kama hujui email na password ambayo user anatumia there's no other way u can get access to the account. Mengine yote ni kujidanganya
 
Back
Top Bottom