Jinsi gani naweza kufanya "Espionage"?

Superfly

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
966
1,966
Habari wakuu?

Rejea kichwa cha thread hapo juu..

In summary Espionage by definition:
Is the discovering of secrets, especially political or military information of another country or the industrial information of a bussines

Katika mada hii nataka tufocus kwenye simple ways ambazo mtu wa kawaida anaweza akazitumia ili kufanya "espionage" mahala husika anapotaka.

Mfano, Mimi binafsi natamani kuextract information za namna ya kutengeneza bidhaa ya aina fulan, katika industry fulani.. Sasa kama unavyojua secret formula ya bidhaa hua wanaifahamu watu wachahe sana katika kampuni.

Je ni mbinu zipi naweza kuzitumia ili niweze kupata hizi secret information?

Karibuni wakuu.
 
Umetumwa kutest kama system iko strong or weak ili mtafute mbinu nyingine, hongera ni study nzuri ili kuboresha system ya kufanya kazi
 
Unaweza tumia hela mkuu..baada ya uchunguzi wa wahusika wanaofanya hivyo unaweza kujua mtaalum mmoja anaudhaifu gani.. Kama ni fedha then unamuitishia fedha ya kutosha anatapika Siri!!
Ama kama unaweza unda urafiki mkubwa (hili litakula muda mwingi).. au ikibidi kama jinsia ni tofauti unda mapenzi na mhusika then taratibu mtapishe siri but usionyeshe walakini wowote wala nini na hakikisha wewe unaingia kwa kutaka wewe ila baada ya hapo yeye ndo akutake zaidi hivyo utaitumia nafasi ya mapenzi kufanikisha ukitakacho!..😜
(Hili gumu ndugu)

Halafu usipende kuangalia movie sana polisi wakikukosa ati ndo basi au vipi huku mtaani watakuroga shauli yako..😅
 
Espionage inaenda sambamba na financial stability yako mhusika kama unae mtarget kakuzidi financially na ana influence kukuzidi huwezi kutoboa
Unless factor zingine kama mtu akupende au lah zinaweza kukubeba japo sio for that extent ya kutemewa everything kikubwa ni Muda na kucheza na saikolojia ya mhanga wako.
 
Umetumwa kutest kama system iko strong or weak ili mtafute mbinu nyingine, hongera ni study nzuri ili kuboresha system ya kufanya kazi
Hili linaweza kuwa lengo pia.. Ila kwa sisi hii si dhamira yangu!
But ntalifanyia kazi siku moja.. Thanks for the idea.
 
Unaweza tumia hela mkuu..baada ya uchunguzi wa wahusika wanaofanya hivyo unaweza kujua mtaalum mmoja anaudhaifu gani.. Kama ni fedha then unamuitishia fedha ya kutosha anatapika Siri!!

Ntatry hii mbinu.. Hio ya mapenzi naogopa itanigharimu SANA. Bora hio ya kuhusisha pesa.

Halafu usipende kuangalia movie sana polisi wakikukosa ati ndo basi au vipi huku mtaani watakuroga shauli yako..

Hahah Na ukirogwa huwezi shitaki popote!
 
Back
Top Bottom