AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Elimu ya USA?.
Ndugu, Advocate. Kuzungumzia mfumo wa Elimu nchini ni lazima kwanza uwe umeshiba sawa-sawa. Au labda pengine una mkate pembeni.
Naomba nikuulize, unachokipenda toka rohoni ndicho umesomea?. Kama ndiyo, ni wangapi wapo kama wewe?, kama siyo tunakwenda wapi?.
Ni suala la kawaida kumkuta mwanafunzi (sipendi kuita mwanachuo) anasomea U-handisi wakati moyo wake upo kwenye U-alimu. Vise-versa, mwanafunzi anasomea U-alimu wakati mapenzi yake ya dhati yapo kwenye U-handisi.
Hao TCU, NACTE ndiyo majipu haswa. Mwanafunzi anaomba ualimu, wao wanampangia HR. Unaomba uanasheria, wanakupangia Uhandisi. Unategemea nini?.
Wao ndiyo huamua hatima ya wanafunzi. Wao ndiyo hutaka usome kipi, na usisome nini. I'ts un-fair to call them ni "Wapanga" taasubi za kusomea.
Siyo SUA pekee, ni vyuo Taifa zima.
Sijaelewa mkuu unasema TCU wamulike elimu ya USA yaani kwa Trump hasa SUA??
Ngoja movie iendeleee kesho mapema narud nione kinachoendeleaUnazochuki binafsi tu. Lkn elimu inayotolewa SUA ni pana na ndio maana mwanafunzi anayesomea sayansi ya nzige na bado anaajiriwa NHIF maana yake katika mtaala alioutumia zipo basic kozi zinazohusiana na nafasi za kazi wanazozifanya ambazo zipo kinyume na kozi kuu walizosomea. Usiwe mjinga hata fact ndogo kama hizo. Kama data unazotoa ni sahihi kwanini kwa mfano wasiajiriwe wanafunzi wasio na ajira toka vyuo vingine ambao wamejazana mtaani? Na vitu vingine ulivyoandika ni ujinga wa kitokujua taratibu. Mfano shirika kama NHIF wana salary scale zao na mshahara sometimes kwenye sekta binafsi inategemea bargaining capacity ulokuwa nayo
Mitaala na programmes za SUA ni copy & paste kutoka nchi za mashariki ya kati, ambapo haziendani na mazimgira halisi ya kitanzania na Africa.
Vijana wengi wa PCB/PCM/CBG ambao walikuwa ndoto ya kusoma udaktari na uengeneer, wanapofeli Form 6 na kupata division 3 chafu na div 4 wote hukimbilia SUA, hivyo husomea vitu ambavyo hawakuwah kuwaza kuvisoma.
Musikariri chuo kwakua ni cha kilimo kumbuka chuoni kuna kozi nyingi sana na ndio sababu unawezapata ajira uka-deal na ishu ndogo tu ambayo ni moja ya kozi ulizosomea huku ukiambatanisha kwa uchache sana na knowledge za kozi nyingine. Kukuta mhitimu wa SUA huko NHIF ni wazi kua wahitimu wa hiki chuo wanafit maeneo zaidi ya kile unachokiamini wewe.Ni kweli mkuu! Lakini SUA ni jipu zaidi, mtu anasomea sayansi ya udongo na nzige alafu field anaenda kupiga NHIF na supervisor anampa max tu.
Kinachotokea baada ya kugraduates ndio wanakuja kuwa ma cheap labors sababu ya kukomaa kwenye fani zisizo zao.
Mkuu unaposema wenye division four na three chafu wanaenda SUA una maanisha nini?? Naomba majibu tafadhali!!Ni kweli mkuu! Lakini SUA ni jipu zaidi, mtu anasomea sayansi ya udongo na nzige alafu field anaenda kupiga NHIF na supervisor anampa max tu.
Kinachotokea baada ya kugraduates ndio wanakuja kuwa ma cheap labors sababu ya kukomaa kwenye fani zisizo zao.
Alafu hiyo kozi ya sayansi ya udongo na nzige mbona sijawahi iona sua??Ni kweli mkuu! Lakini SUA ni jipu zaidi, mtu anasomea sayansi ya udongo na nzige alafu field anaenda kupiga NHIF na supervisor anampa max tu.
Kinachotokea baada ya kugraduates ndio wanakuja kuwa ma cheap labors sababu ya kukomaa kwenye fani zisizo zao.
Alafu graduate wa sua kufanya kazi bank ni kosa la SUA kweli? Sua kazi yao ni kufundisha na sio kumpangia wapi graduate akafanye kazi!!Ni kweli mkuu! Lakini SUA ni jipu zaidi, mtu anasomea sayansi ya udongo na nzige alafu field anaenda kupiga NHIF na supervisor anampa max tu.
Kinachotokea baada ya kugraduates ndio wanakuja kuwa ma cheap labors sababu ya kukomaa kwenye fani zisizo zao.