ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 947
- 545
yapo tena asilimia kubwa kila mwanaadam anayoHivi hayo majini yapo kweli.
Acha mbwembwe nani kasema kila mtu anayoyapo tena asilimia kubwa kila mwanaadam anayo
wew pia nahis unaloAcha mbwembwe nani kasema kila mtu anayo
hapana labda kwenye ndotoYanaweza kutokea kwa uhalisia kama binadamu walivo,,..!?
kwani hao ni miungu na wanajua kila kitu hao ni binaadam na mm binaadam na kila mmoja ana uelewa wake na kitabu alicho soma elewa hao viumbe tu kama mim na sio miungu au munguUshauri wako mzuri saana. Huenda umeamua kuwatishia watu na wengine umewapa nafasi ya kuendeleza u domo zege wao. Yaani domo zege umempandisha cheo kuwa analo jini mahaba??
Wewe hujawahi hata sikia habari za hao majini. Mwuliza mshana jr na MziziMkavu. Usilete nadharia zako hapa tafadhali.
kwani hao ni miungu na wanajua kila kitu hao ni binaadam na mm binaadam na kila mmoja ana uelewa wake na kitabu alicho soma elewa hao viumbe tu
hakuna elimu isiyo toka kwenye kitabu ndugu subir nikujuze vizur Realname yangu ni Abdulqadir Hassan Ali mahine , mzee wangu ni Sharifu sayyid Hassan ni Mzawa wa bweni pangani Tanga Chimbuko kutokea Lamu kenya na sijasema kuwa mimi ni mganga ila tu nimewajuza baadhi ya vitu vilivyo kwenye kitabu waulize hao kina mshana kama wana ubavu wa kushindana na kitabu cha Ghazal au Falaki Mimi sijataka kujifunza ningetaka kujifunza ningesha jifunza masiku mingi mana mzee wangu ni mwalimu tosha na jinsi nilivyo na roho mbaya iyo elim mim hainifai .Notice that am not witchdoctor ubongo wako finyu.Kumbe mkuu na mbwembwe zoote ni ilim ya kitabuni tuu?? Pole sana, sijasema mshana jr na MziziMkavu ni miungu. Nimesema, hao ilim yao si ya kitabuni bali ya kutokea hukoooo yanakotengenezwa hayo makitu. Usiogope mkuu, omba ufunzwe, sote kuna kitu tulikuwa wajinga/hatukifaham. Lakini leo ni wajuzi
Ni pm mkuuNirushinieni na mm hao majini
hahaha nimeipendaNi pm mkuu
anza ww Alf mm nifuate maana inaznguaNi pm mkuu
yapo mkuuHivi hayo majini yapo kweli.