ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 947
- 547
Uzi Makini.
1: Ukiwa na jini mahaba wa kike kama wewe ni mwanaume basi jua wew utakuwa domo zege siku zote Na huwezi kukubaliwa na mwanamke hata siku moja inasemekana ukiwa naye anakufanya uwe mzito kutongoza au uwe na mkosi kwa mwanamke asikupende. labda upate mwanamke mwenye jini mahaba wa kiume na vile vile ukimpata mwanamke wa aina hiyo basi jua atakumiliki ndani ya nyumba. na mwanamke ukiwa na jini mahaba wa kiume jua wewe huwezi kupendwa na mwanaume yeyote isipo kuwa mwanaume mwenye jini mahaba wa kike na wewe utakuwa unatawala nyumba kama mume kwenye nyumba.
2: Ukiwa Mwanaume na una jini mahaba wa kiume ni lazima uwe mzee wa chuchu yani yule jini anapo kuwa na hamu ya kusex anakutumia wewe na hakuna mwanamke mwenye ubavu wa kukukataa hata siku moja Na kwa mwanamke ukiwa na jini mahaba wa kike nawewe pia utakuwa mtu wa kutamani wanaume tu.ila mkikutana watu wa aina hii(mwanaume na mwanamke)Bas ndoa yenu itakuwa nzuri.
100%