Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
- Thread starter
-
- #41
tia kunka kaka kama vip ongezea na mkuyat il akayape taarifa na wenzake waje kwako kwa wng
tumia kinga mkuu. virusi vyake hao jamaa hata babu haoni ndani
Kuna ndgu yako kakutumia mara nyingi Politicians ila nimeshangaa umejuaje kama ni jini na watu wengine hawamuoni maana mara nyingi waliotokewa huwa hawajui kirahisi kama ni jini.
Unamaanisha popobawa??
hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa
Nyeto ukiizoea inatabu sana ndo mwisho wake huuu:lol::lol::lol:
maria acha mzaha . Mi nipo njia panda ndugu yangu wewe unaleta utani? Niambie kuna madhara yoyote?
Haahaha haha unalo leo kazi kwako madhara yapo kibao wahi ukaombewe uondokewe na pepo la ngono :lol::lol::lol:
Ukiamini hvyo cku moja litakuja jini dume hapo ndo utaipandekahii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa
naskiaga yanakuwaga warembo kweli...
hongera.:ballchain:
Ni kiumbe kama wewe binadam.jini ni nini?
Uhusiano wowote kati ya m wanadamu na jini huisgia kwa mwanadamu kufa kwa kunyonywa damu hivyo usifurahie sana SIKITIKA MNO uko njia panda ya KIFO na UZIMA.
Ushauri wangu:
Nenda kwa watumishi wa Mungu waliokoka wakakufanyie maombi uwekwe huru kwani kwa sasa umefungwa usifikiri uko salama.
kuna baadhi ya imani zinazoamini majini ni viumbe Kama viumbe wengine kwahiyo wanayaoa, wanajenga urafiki wa kutembeleana nayo na kusaidiana na wengine wanadai wanalindwa na majini. kwa imani ya dini yangu hakuna urafiki kati ya binadamu na majini sasa basi Kama imani yako inaruhusu acha kutukejeli songa mbele na hilo balaa lako, Kama imani yako hairuhusu mtafute Bon mwait..... akakuangushie maombi tatizo lako ni kubwa sana kaka