Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

Iv inawezekana mtu aliepata mkopo asilimia mia akakosa hela ya stationary na field?
Ukisikia mtu kapata miaa maana ake unaenda na begi tu chuo..!! Kama mimi enzi hizoo za JK... Mungu ambariki sana yulee mzeee...
 
Ukisikia mtu kapata miaa maana ake unaenda na begi tu chuo..!! Kama mimi enzi hizoo za JK... Mungu ambariki sana yulee mzeee...
Hata direct cost hulipi mkuu? Mfano hela ya kitambulisho, organization of students, and the like?
 
Haha Bora nyie mwenzako hata hilo boom sipati
Mkuu kaza msuli kisela tu unatoka wengine tumepiga bila boom na tumepita tumeona wenye boom ndani ya week 2 bawana hata 100 so kupunguza vitu visivyo vya lazima tu
 
Kwan hujaelew.. What the writter intend to deliver?
Ukiandikan...kashinde... Unapungukiwa nini,kesho na keshokutwa utakosa fursa au utapuuzwa kwenye uwasilishaji wa mambo mazuri kabisa na hekima,kwa sababu ya uandishi wa kihunihuni tuu

Waachie form 1 B waandike hivyo...wewe ni mtu mzima sasa,unless labda kama you still growing
 
Kama umeshidwa kuangalia jins ulivopata kwa kulog in.. Bas usijali nenda chuo utawakuta watu kutoka bodi.. Then utachukua form inaitwa register form then utaipeleka kwa watu WA bodi.. Hao watakuandikia kiasi cha ada kilicholipwa.. Kama hawajalipa chochote basi utandikiwa nil hivo itakulazim ukalipe Kwanzaa benki ndo uje uendrleeh na usajili chuon.... Badae utapatiw kitambulisho ambacho utawaonesha watu wa bodi basi nao watakuomba account number ili wakuingizie boom lako
Ahsante sana nitalifanyia kazi hilo
 
Ukiandikan...kashinde... Unapungukiwa nini,kesho na keshokutwa utakosa fursa au utapuuzwa kwenye uwasilishaji wa mambo mazuri kabisa na hekima,kwa sababu ya uandishi wa kihunihuni tuu

Waachie form 1 B waandike hivyo...wewe ni mtu mzima sasa,unless labda kama you still growing
Mi sijaandika ila kwa niaba ya alieandika nimekuliza ambacho hujaelewa nini? By the way wew hauna uwezo wa kumpuza mtu yeyot wala kutoa fursa kwa mtu... Endelea kusubir chuo na kula ugali wa shikamoo kwa baba yako apaoo... Pumbafuu
 
Asante kwa majibu yako ya kashfa...Mimi huko mnapopita mdogo Wangu nilipita miaka mingi hadi nimesahau,Mungu Akusamehe kunidharau na kunitusi,ila akufanyie wepesi wa kuyaelewa haya niliyokushauri
 
Usikate tamaa ndg yng yani ishu mkopo wa Bodi ni kichomi htariiiii ww endelea kufuatilia ikibid pga kambi pale wakuone wakubwa wa nchi hii au uende kuomba kuonana na PM moja kwa moja.
Je mtu aliyesoma private Mara mbili AF mchepuo PCB anaweza pata ata boom?msaada
 
mshukuru,Mungu...mkuu,nyingi...sana...hiyo...wenzako..hawajapata..kitu.
 
ni kweli ni "meals and accomodation " Sema sasa wanapeleka mavyuo ambayo wengine hatujaconfirm
 
Mimi nimepata meals&accomodation 1,989,000 then stationary 200000 then field 190,000 then special facaulty requirements 60,000 then fees 83%
Sasa angalia hesabu zako hapo juu hapa lazima ukomae kwelikweli maana kula chips kuku na starehe zingine lazima uache kama una demu lazima uache maana hutaweza kumtunza. HAPA KAZI TU

1,989,000 meals and accommodation UMEPEWA MKOPO mchanganuo wake ni kama hivi

Sh .80,000 bei ya chumba kwa mwezi X 12 miezi pamoja na maji na umeme = sh. 960,000 kodi ya chumba kwa mwaka

1,029,000 chakula ÷ 12 miezi = Sh. 85,750 kwa mwezi ÷ 30 siku za mwezi= sh. 2,859 kwa siku chakula

School fees 13% wazazi watalipa

special faculty requirements sh. 60,000 + stationary sh. 200,000= 260,000 Balance utakayobaki nayo

Bima 150,000 wazazi watalipa

Vitambulisho wazazi watalipa

Nauli za kila siku wazazi watalipa

Laptop wazazi watanunua

Vitabu wazazi watanunua

Photocopy

Hata kama utaishi Hostel bado gharama zingine zinakuhusu kama kulipia chumba cha hostel na maji na umeme watakata tu. JIPANGE VIZURI USOME
 
Hongera sana, mshukuru Mungu wako wenzenu wengi wamekosa hadi naona huruma.
Ni kweli mzee ni jambo la kumshukuru mungu mi nawafaham watu kumi af wote Two za kumi na wamekosa wote huu mkop
 
Back
Top Bottom