costa doncway
Member
- Oct 5, 2017
- 65
- 17
Jaman wanaJF hivi kuna ukweli wowote kuhusu wanafunzi waliopata mkopo 3rd batch mbona karibu wote wamepewa meals&accommodation tu NA ada hatujalipiwa Mimi nakaribia kukata tamaa ya kusoma jaman naombeni mchango wenu juu ya hili
Shime kwenu wakuu
Shime kwenu wakuu