Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,602
Na ndo maana wanyakyusa wanawapa majina yenye akili watoto wao,utasikiaNi kweli majina yana maana sana tunapowapa watoto wetu na hili hata mi nimeliona na kulishuhudia mi mwenyewe sio kuisimuliwa,hiku kuna watu wanaoitwa taabu,masumbuko,mateso na shida ambao nawajua jamani kama ni mateso,taabu,shida na mahangaiko wanavipata kweli.najua yote hayo huwapta wengine pia na hayaepukiki lakini kwa wenye hayo majina hali ni mbaya zaidi so chonde chonde wazazi names are the authors of our children destinies!
Majina yana maana kubwa sana kwenye maisha yetu.
Tabia na muonekano wetu umejengwa kwa kiasi kikubwa na majina tuliyopewa.
Mtoto akiitwa siwema, kamwe hawezi kuwa mwema.
Ukimuita mwanao Majuto, daima atakuwa anajuta.
Haya sasa oneni maajabu haya yaliyotokea Sinza.
Hii inamata sana, kuna mwandishi mmoja maarufu alimwita mwanae "Tanzania".
Sijui alifikiria nini.
Na ndo maana wanyakyusa wanawapa majina yenye akili watoto wao,utasikia
ASANGALWISYE,ANDULILE,ANGOLWISYE,ANDANBWIKE................

mhm hapo nakataa kabisa kwani kila kabila lina majina mabovu sana mfano hao wanyakyusa majina yao ya ajabu sasa wewe kumpa mtoto jina la ambindwile, afwelile, angolwisye, asangalwise, bukenja, bikunyasya, ambilikile, fikufyuka, ngupasya na mengineyo mengi huoni hayo ni majina mabovu ambayo yatamletea mwanao matatizo matupu sio hata ndugu zetu wangoni nao utasikia mapunda, man'gombe, masuluali, na wamakonde ndo kabisa chipuni, chipedi na wapare hao ndo sisemi maana naogopa mtu fulani hapa atanitoa roho bure