CreatureKH
Member
- May 14, 2021
- 42
- 88
Jamani nipo katika mgogoro na nafsi yangu...Je ni hasara gani zinapatikana kutumia jina la ukoo officially
Kuna mtu kanambia (mtumishi) nisitumie jina la ukoo kwa mtoto wangu maana linaakisi kabila lake hivyo itakuja kumpa tabu baadae katika harakati zake za kutafta maisha hasa akiamua kuajiriwa
Badala yake nitumie jina la Babu (linalofuata jina la babake)
Je, kuna ukweli wowote?