Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,510
- 4,431
Ni mimi mkuuLitaje mkuu!!
Umbea umeanza sasaTofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.
Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
Wewe hapana kamisaa una makandokando mengiNi mimi mkuu
Waache wauane.mmeshaaanza kuloga tayari?
Sifai ?Wewe hapana kamisaa una makandokando mengi
Atapendeza akitoka ccm zanzibarTofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.
Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
Hata huyo poa tuLe Mutuz ndiyo atakuwa next Speaker you know!
... mgombea uspika sharti apendekezwe na chama chenye usajili wa kudumu.Umelisikia kutoka CCM au maana spika anaweza akawa hata ambaye hana chama.
NdiyoAkiteuliwa spika mwingine je naibu spika anakua yule yule au?
huyo sio mkuu. sababu ni kwamba yeye hatokei pwani wala kusini.Zitto Kabwe