Jina la mwizi wa Billioni 200 za walipa kodi!!

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Taja Jina la mwizi wa Billioni 200 za walipa KODI kwenye akaunti ya 'Tegeta Escrow Account' unayemfahamu hapo chini!

Toa maoni yako juu ya nini kifanyike ili kukomesha dharau hizi za watawala kuidharau nguvu ya umma.

Pia kwa ufafanuzi mfupi tu, unaweza kueleza ni nani alaumiwe kwa uzembe huu.

******************

Mwisho nawakumbusha kutoyumbishwa na propaganda za vyombo vya habari vyenye nia mbaya na chuki dhidi ya wapenda haki, uwazi, uwajibikaji na uadilifu, naamini sote tunavijua vyombo hivyo ambavyo ni maadui zetu kwa majina na sura.

Ahsanteni sana!!!
Lissu.
 
Halafu nikimnukuu muhongo alisema anaushidi wa cctv zinazo waonesha wabunge wa cdm wanavyo chukuwa mlungula kwa iptl kwa kuwaziba mdomo wasifatilie ishu ya iptl na pesa ndio mana wako kimya sana
 
IPTL ni kiini macho tu! Ukweli ni kuwa IPTL waliingiza $ 50 tayari walishatoka baruti baada kujivunia mabilioni long time! 200 Billion zimepewa jina la IPTL lakini kiuhalisia ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ujao! Tayari ACT Tanzania imepata mgao mkubwa wa kuwanunua makada wa CDM nchi nzima! Kiasi kingine kikubwa kimeingizwa kununua dola ndiyo maana shilling inashuka thamani kwa speed ya light ...
 
nikisomaga ujumbe km huu,roho huniuma sana.
Shangaa sasa na zzk eti ameinyoshea mkono sirikali,kumbe naye kapewa gawio???
 
Taja Jina la mwizi wa Billioni 200 za walipa KODI kwenye akaunti ya 'Tegeta Escrow Account' unayemfahamu hapo chini!

Toa maoni yako juu ya nini kifanyike ili kukomesha dharau hizi za watawala kuidharau nguvu ya umma.

Pia kwa ufafanuzi mfupi tu, unaweza kueleza ni nani alaumiwe kwa uzembe huu.

******************

Mwisho nawakumbusha kutoyumbishwa na propaganda za vyombo vya habari vyenye nia mbaya na chuki dhidi ya wapenda haki, uwazi, uwajibikaji na uadilifu, naamini sote tunavijua vyombo hivyo ambavyo ni maadui zetu kwa majina na sura.

Ahsanteni sana!!!
Lissu.
Ni upepo tu,utapita!!!!!!!!!
 
Habari Tanzanian,
Ndugu zangu ninapoandika haya hapa kwetu Rorya majunzi kuna binti aliyekuwa anajifungua ambaye amefariki kwa kutoka damu nyingi! baada ya muda mfupi mtoto naye alifariki baada ya kuzaliwa akiwa amechoka sana!.Hakika nilitoa machozi.Najua mazingira ya DSM jinsi pesa za umma inavyovujwa,uwizi serikalini,upendeleo kwa familia za vigogo,uwizi ktk halmashauri,EPA,RICHMOND,ESCROW na mengine mengi tu.Lakini yote haya nakumbuka ahadi ya Rais wakati wa uchaguzi alituahidi maisha bora,afya bora,lishe bora lakini yote hayo ni historia hapa Rorya,hatuna barabara,hospitali,njaa,maji,umeme na maisha ya wananchi yako hovyo.Hivyo kutokana na mada hiyo hapo juu ninaye wa kumkaba shingo na si mwingine ni yule tuliempa dhamana ya kutumlikia mwanga.

Hakuna amabacho kinafanyika ktk ardhi hii bila yeye kujua kwa kushiriki,kupewa taarifa ya utekelezaji hivyo kuanzia uwizi wa EPA,RICHMOND,ESCROW na uwizi katika halmashauri na mashirika ya umma huyu mtu anashiriki.Kwa hiyo kutokana na kifo cha Achieng imesababishwa na mamlaka kutubagua sisi waluo,hatuna chochote cha maana jamii hii imepata matatizo mengi mno uwizi wa mifugo ambaye imewaacha maskini,kisha ikaja rift valley fever ambayo iliwauwa karibu ngombe wote lakini kule Arusha ndio walifidiwa kwa kupewa ngombe 4 kwa kila kaya.tupatieni maji,ata miradi ya TASAF ije,tupeni ng'ombe ata mbuzi,umeme,bara bara,afisa kilimo na zao la biashara hatuna halafu muaje kutubagua.
 
Chunguzeni kama hao waliochukua hizo pesa toka kwenye ESCROW account ni GENUINE beneficiaries na kama ni conmen, hapo mwenye fedha halali atakapojitokeza ndio hapo mtaelewa kuwa mmeibiwa kwani serikali itabidi ilipe!!
 
J.a.k.a.y.a ndiye mwizi namba moja. Kawatuma hao kina mhongo, maswi na werema ndo maana wanaongea kwa madharau na kujiamini sana.
 
Taja Jina la mwizi wa Billioni 200 za walipa KODI kwenye akaunti ya 'Tegeta Escrow Account' unayemfahamu hapo chini!

Toa maoni yako juu ya nini kifanyike ili kukomesha dharau hizi za watawala kuidharau nguvu ya umma.

Pia kwa ufafanuzi mfupi tu, unaweza kueleza ni nani alaumiwe kwa uzembe huu.

******************

Mwisho nawakumbusha kutoyumbishwa na propaganda za vyombo vya habari vyenye nia mbaya na chuki dhidi ya wapenda haki, uwazi, uwajibikaji na uadilifu, naamini sote tunavijua vyombo hivyo ambavyo ni maadui zetu kwa majina na sura.

Ahsanteni sana!!!
Lissu.
umesahahu na mamilioni yaliyofishwa Uswis
 
Back
Top Bottom