Hao ni Walutheri ndio wanatoa majina hayo.Alinda, kemmi, asimwe, sima, atugonza, nk
Mbona wachaga nao wanakula sn ndizi,Wanasema kuwa sababu ya kula ndizi sana! Lakini bado sidhani kama hili lina ukweli..
AtupeleAtugonza - Anatupenda (Mungu)
Asiimwe - Apewe shukrani (Mungu)
Kagemulo - Zawadi
Byera - Furaha
Karungi - Mzuri
Ainekisha - hii nimesahau maana yake, something like mwenye huruma ila zaidi ya huruma. Kuna msamiati mwingine hapo.
Alinda - Mwenye kusubiri
Na mengineyo
Nyakyusa huyoAtupele
Katerero
Tombangile au kokumeme
Kama ni jina lake la ukweli, sio vizuri: remember those good old times. Huyu anaweza kuwa mama wa watoto, mke wa mtu, mfanyakazi sehemu etc. Plse be a gentleman.Chukua jina la ex Wangu,
Aliitwa KEMILEMBE MTAYOBA
Alikua nkichapa anasquirt Ni balaa[emoji1]
Ndizi wanazokula wahaya ni ( Ndizi bukoba), huu uchafu sijui ndizi mshale, malindi ni nzidi za pombe.Mbona wachaga nao wanakula sn ndizi,
Ila Ni wakavu utadhani zimemiminiwa mchanga, Sio utafiti rasmi ila nadhan kwa tz hi ndo wanaongoza.
Alinda ni jina lenye mkanganyiko. Ulinzi kwa kihaya sio "linda" ya Kiswahili, haiwezekani Kiswahili kilitumia Kihaya kupata hilo neno wala opposite, Kihaya cha kale ambacho ni nadra sana kukipata leo hii kina neno lake linalomaanisha mlinzi. Wafalme enzi zile akina Bwoki na Kaitaba walikuwa na walinzi sasa waliitwaje na kitenzi kulikuwa ni kipi wakati Kiswahili hakikuwa kimefika.Aah alinda yaani Mungu anatulinda,(maana yake mlinzi) mengine uko sawa