Jina la Mtoto wa Kike la Kihaya

Jina la Mtoto wa Kike la Kihaya

Atugonza - Anatupenda (Mungu)
Asiimwe - Apewe shukrani (Mungu)
Kagemulo - Zawadi
Byera - Furaha
Karungi - Mzuri
Ainekisha - hii nimesahau maana yake, something like mwenye huruma ila zaidi ya huruma. Kuna msamiati mwingine hapo.
Alinda - Mwenye kusubiri
Na mengineyo
 
.
20230426_165053.jpg
 
Atugonza - Anatupenda (Mungu)
Asiimwe - Apewe shukrani (Mungu)
Kagemulo - Zawadi
Byera - Furaha
Karungi - Mzuri
Ainekisha - hii nimesahau maana yake, something like mwenye huruma ila zaidi ya huruma. Kuna msamiati mwingine hapo.
Alinda - Mwenye kusubiri
Na mengineyo
Hii Ainekisha nimelielewa..
 
Kwanini usiulize mashangazi zako kijana? Yapo mengi nakuongezea Anchila, Kokusima, Kokulila, Kemirembe n.k n.k
Nashangaa basi kama hataki kuuliza mashangazi amwite jina la pombe ya kihaya amwite RUBISI
 
Hilo swali mi mwnyw pia nataman kujua,
Sema nadhan sio wote maana mamaJ sio mhaya ila nae analimwaga ni balaa[emoji1]
Wanasema kuwa sababu ya kula ndizi sana! Lakini bado sidhani kama hili lina ukweli..
 
Back
Top Bottom