Sijakuelewa unachotaka kusema hapa,hueleweki,kipi cha kujifunza hapa?
mmh you reserve your privacy wakati huku
unatuambia namna ulivyomgegeda hadi hizo vitu vilivyomtoka!!!!!
stori yako ni kama unarelate na mabo ya ushirikina vile
Alitaka kutujulisha namna alivyojua/anavyojua kugegeda basi. Anataka kupaisha tiara yake hewani ila amesahau kuweka kamba ya kushikilia.
Thread ya msomi.....
Well. Hadithi nzuri. Ila sijaona jina la huyo deu wako limekuathiri vipi. hata katika hitimisho lako hukuonyesha. Je huyo alie muoa huyo demu wako wa zamani nae aliathirika kukosa fedha au kila apatapo pesa nyingi zilikuwa zinatumika bila kujua kama ilivyokuwa kwako?( chuma ulete).
Athari za kukumbuka jina la msichana sana, hii inatokea pale ambapo ulimpenda sana huyo msichana na mlikuwa nae karibu sana, pili inawezekana kuwa alikuwa ni msichana wako wa kwanza kuwa naye katika mapenzi. Si dhambi kukumbuka jina la mtu kila wakati ukizingatia kuwa wewe hujaoa bado.
Hujasema kama baada ya kuachana nae ulipata mwanamke mwingine ku replace yule wa kwanza na je ulimpenda kiasi gani.
Umekataa kutuambia hilo tukio kubwa jema na la kijasiri ambalo lilifanya moyo wako kuwa huru. Tunashindwa kujifunza au kukushauri kwa kuwa tunashidwa kuunganisha matukio yote mawili.
Kama umesahau jina inatakiwa na tukio zima tangu mwanzo ulisahau kabisa wala usilifanye simulizi.
LET THE PAST GO, BUT DONT LET IT GO WITH YOU.
Ndugu naomba msimwelewe vibaya mleta thread. Yeye hajasema ni msomi, kama nimemwelewa vizuri kasema alimaliza chuo.Hata ukiisoma vizuri thread yake utagundua hilo, kwamba alifanikiwa kumaliza chuo na kugraduate lakini hakubahatika kuelimika na ndo maana anapata viajira vidogo vidogo ambavyo mimi naviita vibarua! Hivyo kuielewa thread hii lazima uwe na akili kama ya kwake !
Nimesoma mwanzo mwisho neno nililolielewa ni MBUNYE tuu...!!
Teh teh teh mkuu wewe umeonamo nini bana..maana mie ndio nlichokiona tuu....Kweli we ni mtandhaniya...lolest5
Teh teh teh mkuu wewe umeonamo nini bana..maana mie ndio nlichokiona tuu....
Teh teh teh haya bana....Nimeona mawili mkuu... alimgegeda na mbunye...