Jina la mpenzi wangu wa zamani-ushuhuda!

M4CODES

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
19
Reaction score
4
Habari!
(wavivu wa kusoma na kutafakari msihangaike kusoma hapa, kuna nyuzi zingine mkazi-comment hizo)

naomba ku-share nanyi huu ushuhuda labda unaweza kumjenga mmoja kati ya 143,000 registered members!

Nilimaliza chuo miaka kadhaa iliyopita. Kuna demu mmoja mzuri sana, kiukweli ni mrembo wa haja(ana shape la kibantu, ni shape zangu wakuu) nilikuwa namtamani kitambo sana ila sijawahi kumgegeda. Tarehe ya kufanya graduation ndio demu ananikubalia nikaona isiwe tabu, nikatoza kufanya gradu ili niende kumgegeda demu! huyu demu kanisumbua sana, nikaona gradu sio issue nimemaliza shule gradu mbwembwe tu nikajisemea! Hatimae siku ikafika, huku kuna gradu kule kuna mbunye, tayari nilishafanya maamuzi yangu mapema kuwa priority naipa mbunye, hivyo nyumbani sijawahi kuwaambia kuhusu gradu ili wasinighasi kwenye priority zangu then gradu ikapita kimya kimya, hatimae siku ya siku nikaenda kuchukua gamba tayari kwa kilinge cha kusaka ajira, of koz nikapata viajira vidogo vidogo sana, ambavyo kiukweli havinitoi kama malengo makuu ya kijana msomi! Ikafika sehemu nikakata tamaa ya ajira!

Anyway tuendelee, siku hiyo nilimgegeda demu hadi damu ilimtoka, damu ya hedhi! nahisi mgegedo ulikuwa wa ukweli maana demu alinizungusha sana hivyo nafanya kama revenge hv kimya kimya huku akichagizwa na ule uzuri wake kuanzia usoni hadi kwenye shape, ilikuwa ni balaa! hata hivyo tukaendelea kupendana na kupeana mgegedo kama kawaida kwa miaka kadhaa tena!!

Ajabu ni hii hapa:
Tangu kipindi kile sijawahi kupata ajira ya maana ya kunitoa(nashukuru Mungu nilikuwa napata ndogo ndogo kwa wingi sana, sio haba). Hata hivyo baadae tukaja kuachana, the demu was so demanding mkwanja na mimi mikwanja yangu ni ya kuungaunga sana, demu pia akaanza kuwa na vidumu kadhaa pembeni, nikaona sio tabu nikaamua kukaa pembeni! Very soon demu akaolewa(analipa ati), nikamtakia kila la kheri!

Sasa basi, huyu demu jina lake likawa linanijia sana mdomoni, japo sio kwa sababu namzimikia hapana, mm tayari nimekubali kushindwa coz sina mkwanja(hata hivyo sijawahi kumtaja mbele ya mtu), ila jina lake linanijia sana mdomoni! nikaona hii sasa ni balaa! siku moja jina lake likanijia asubuhi bafuni wakati naoga, ikabidi nianze kusali bafuni ili jina lake lisinijie tena, nikawa na mazoea ya kusali mara kwa mara kwa ajili ya jina lake kunitokea, hata hivyo hali ikapungua sana! Kuna kipindi nilipata sh 4.9 milioni za fastafasta lakini ziliisha kama chuma ulete hivi, na huku bado naendelea kujiwa na jina la mke wa mtu sasa(zamani demu wangu). Hizo pesa zikaishia zote bila kujua zimepoteaje, niliambulia kununua simu na hatimae hiyo simu nikaja kumpa rafiki yangu, mm nikabaki na kitochi tu! Maisha yakaendelea! Katika harakati za kimaisha tukio moja kubwa jema na la kijasiri likanitokea katika maisha yangu(i reseve my privacy), na kuanzia pale moyo wangu ukawa huru, silitaji tena jina lake na hv siku nyingine hadi nasahau jina lake kabisa!

Baada ya tukio lile jina la demu halikunijia tena!

Nilichojifunza:
Sio vema kuipa kipaumbele maovu mbele ya jambo jema!
 
subiri wanakuja..............
 
Sijakuelewa unachotaka kusema hapa,hueleweki,kipi cha kujifunza hapa?
 
Well. Hadithi nzuri. Ila sijaona jina la huyo deu wako limekuathiri vipi. hata katika hitimisho lako hukuonyesha. Je huyo alie muoa huyo demu wako wa zamani nae aliathirika kukosa fedha au kila apatapo pesa nyingi zilikuwa zinatumika bila kujua kama ilivyokuwa kwako?( chuma ulete).

Athari za kukumbuka jina la msichana sana, hii inatokea pale ambapo ulimpenda sana huyo msichana na mlikuwa nae karibu sana, pili inawezekana kuwa alikuwa ni msichana wako wa kwanza kuwa naye katika mapenzi. Si dhambi kukumbuka jina la mtu kila wakati ukizingatia kuwa wewe hujaoa bado.

Hujasema kama baada ya kuachana nae ulipata mwanamke mwingine ku replace yule wa kwanza na je ulimpenda kiasi gani.

Umekataa kutuambia hilo tukio kubwa jema na la kijasiri ambalo lilifanya moyo wako kuwa huru. Tunashindwa kujifunza au kukushauri kwa kuwa tunashidwa kuunganisha matukio yote mawili.

Kama umesahau jina inatakiwa na tukio zima tangu mwanzo ulisahau kabisa wala usilifanye simulizi.

LET THE PAST GO, BUT DONT LET IT GO WITH YOU.
 
hahahaha kwenye point ya kusahau jina umwaga ngeli watu hawajakuelewa mkuu.andika kiswahili ueleweke na wengi.siumetaka kushere
 
Habari!
(wavivu wa kusoma na kutafakari msihangaike kusoma hapa, kuna nyuzi zingine mkazi-comment hizo)

Nilichojifunza:
Sio vema kuipa kipaumbele maovu mbele ya jambo jema!

Sijakuelewa unachotaka kusema hapa,hueleweki,kipi cha kujifunza hapa?

Haa we umetoka Milembe mara hii.. But atleast now nikama umepata nafuu

mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hiyo haina Haja ya privacy, sema ulimpokea Yesu...

Habari!
(wavivu wa kusoma na kutafakari msihangaike kusoma hapa, kuna nyuzi zingine mkazi-comment hizo)

naomba ku-share nanyi huu ushuhuda labda unaweza kumjenga mmoja kati ya 143,000 registered members!

Nilimaliza chuo miaka kadhaa iliyopita. Kuna demu mmoja mzuri sana, kiukweli ni mrembo wa haja(ana shape la kibantu, ni shape zangu wakuu) nilikuwa namtamani kitambo sana ila sijawahi kumgegeda. Tarehe ya kufanya graduation ndio demu ananikubalia nikaona isiwe tabu, nikatoza kufanya gradu ili niende kumgegeda demu! huyu demu kanisumbua sana, nikaona gradu sio issue nimemaliza shule gradu mbwembwe tu nikajisemea! Hatimae siku ikafika, huku kuna gradu kule kuna mbunye, tayari nilishafanya maamuzi yangu mapema kuwa priority naipa mbunye, hivyo nyumbani sijawahi kuwaambia kuhusu gradu ili wasinighasi kwenye priority zangu then gradu ikapita kimya kimya, hatimae siku ya siku nikaenda kuchukua gamba tayari kwa kilinge cha kusaka ajira, of koz nikapata viajira vidogo vidogo sana, ambavyo kiukweli havinitoi kama malengo makuu ya kijana msomi! Ikafika sehemu nikakata tamaa ya ajira!

Anyway tuendelee, siku hiyo nilimgegeda demu hadi damu ilimtoka, damu ya hedhi! nahisi mgegedo ulikuwa wa ukweli maana demu alinizungusha sana hivyo nafanya kama revenge hv kimya kimya huku akichagizwa na ule uzuri wake kuanzia usoni hadi kwenye shape, ilikuwa ni balaa! hata hivyo tukaendelea kupendana na kupeana mgegedo kama kawaida kwa miaka kadhaa tena!!

Ajabu ni hii hapa:
Tangu kipindi kile sijawahi kupata ajira ya maana ya kunitoa(nashukuru Mungu nilikuwa napata ndogo ndogo kwa wingi sana, sio haba). Hata hivyo baadae tukaja kuachana, the demu was so demanding mkwanja na mimi mikwanja yangu ni ya kuungaunga sana, demu pia akaanza kuwa na vidumu kadhaa pembeni, nikaona sio tabu nikaamua kukaa pembeni! Very soon demu akaolewa(analipa ati), nikamtakia kila la kheri!

Sasa basi, huyu demu jina lake likawa linanijia sana mdomoni, japo sio kwa sababu namzimikia hapana, mm tayari nimekubali kushindwa coz sina mkwanja(hata hivyo sijawahi kumtaja mbele ya mtu), ila jina lake linanijia sana mdomoni! nikaona hii sasa ni balaa! siku moja jina lake likanijia asubuhi bafuni wakati naoga, ikabidi nianze kusali bafuni ili jina lake lisinijie tena, nikawa na mazoea ya kusali mara kwa mara kwa ajili ya jina lake kunitokea, hata hivyo hali ikapungua sana! Kuna kipindi nilipata sh 4.9 milioni za fastafasta lakini ziliisha kama chuma ulete hivi, na huku bado naendelea kujiwa na jina la mke wa mtu sasa(zamani demu wangu). Hizo pesa zikaishia zote bila kujua zimepoteaje, niliambulia kununua simu na hatimae hiyo simu nikaja kumpa rafiki yangu, mm nikabaki na kitochi tu! Maisha yakaendelea! Katika harakati za kimaisha tukio moja kubwa jema na la kijasiri likanitokea katika maisha yangu(i reseve my privacy), na kuanzia pale moyo wangu ukawa huru, silitaji tena jina lake na hv siku nyingine hadi nasahau jina lake kabisa!

Baada ya tukio lile jina la demu halikunijia tena!

Nilichojifunza:
Sio vema kuipa kipaumbele maovu mbele ya jambo jema!
 
Kiongozi nimesoma mwanzo mwisho ila hueleweki...nadhani hata wewe ukikaa chini na kurudia tena kusoma uzi wako utagundua hukuelewa! Mia
 
Hongera sana kwa kuacha maovu, japo unachotaka kutuaminisha ni kuwa ulikua na uhusiano na mwanamke mwenye NUKSI...sijui ina ukweli kiasi gani so far
 
Back
Top Bottom