Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,015
sabato nn maana asubuhi
Sabato haina siku...Kila siku ni Sabato ya Bwana...Siku zote ni za Mungu..
sabato nn maana asubuhi
amina mtumishi ..naomba nikuongezee mistari kadhaa..zaburi 121:1_3.nitayainua macho yangu nitazame milima.msaada wangu watoka wapi!.....pia kuna waebrania 4;1_8.lakin sisi hatumo kwa hao warudiao bali kwa wale waliaminio jina la bwana...yohana 6:67 tuondoke twende kwa nani mwanadamu ataondoka lakini mungu tupo naye kila siku.zaburi 50:15 ukaniite siku ya mateso nitakuokoa na wewe utanitukuza..nahumu 1;9 mnawaza nin juu ya bwana yeye atakomesha mateso hayatainuka tena...yesu atusaidie katika kulishika na kulitii neno lake..
amen!!! Nahisi leo upako umenipaka ee Mungu niepushie kutokusoma thread za migegedo.
Amen.