Jina la bwana libarikiwe!!

Jina la bwana libarikiwe!!

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Dunia haina kitu cha kutupatia,ila ni Yesu tu ndiye anaye weza kutupa kila tutakacho,ukiitafakari Dunia kwa udani hakika ni uchafu,Dunia imechanganyikiwa,Dunia ina waya waya,ukipata mda soma ((( walaka wa 1 wa YOH.1:1-10& 2:1-17 ))) Mungu anatupenda sana ,hebu soma uyatafakari hayo Maandiko.HAKIKA BILA YESU MAMBO YOTE NI UBATIRI MTUPU.,MUNGU AWALINDE NA KUWAPA HAJA YA MYOYO YENU.AMINA
 
amen!!! Nahisi leo upako umenipaka ee Mungu niepushie kutokusoma thread za migegedo.
Amen.
 
Yesu ni mungu pekee ambaye hajawahi nena kuwa yeye ni mungu.
 
amina mtumishi ..naomba nikuongezee mistari kadhaa..zaburi 121:1_3.nitayainua macho yangu nitazame milima.msaada wangu watoka wapi!.....pia kuna waebrania 4;1_8.lakin sisi hatumo kwa hao warudiao bali kwa wale waliaminio jina la bwana...yohana 6:67 tuondoke twende kwa nani mwanadamu ataondoka lakini mungu tupo naye kila siku.zaburi 50:15 ukaniite siku ya mateso nitakuokoa na wewe utanitukuza..nahumu 1;9 mnawaza nin juu ya bwana yeye atakomesha mateso hayatainuka tena...yesu atusaidie katika kulishika na kulitii neno lake..
 
Asante kwa upako wako kwani ndio nimetoka jumuia! nimebarikiwa xana. amen.
 
Amina,Ubarikiwe sana byb sac na wote mulio guswa na maandiko hayo matakatifu,Mungu awape macho ya Rohoni ili muweze kuyatambua mazuri na mabaya!
 
Last edited by a moderator:
Amina kubwa mtunishi! Barikiwa mwaka huu hadi dunia ishangae
 
nikiwa kama mwenyekiti wa jumuiya na bado kijana, nimependezwa na maneno yako mtumishi, Mungu akutie Nguvu. na pia soma isaya 41:8-18 . utapata kitu cha kukutia nguvu. na zab 91 yote.
 
Back
Top Bottom