Jina la Benki hii lipi?

Shangaa zaidi na hii PPF fund.
Ni kwa kwamba baada ya kubadili jina kutoka parastatal pension fund (ppf ) na kuwa PPF fund hiyo PPF haina kirefu tena bali ni single word.
 
Asee aliyeleta uzi huu nadhani amelala.... NMB Bank.. NBC Bank.., BOA Bank... DTB Bank... Ni hivi pale tunapotumia UFUPISHO WAKE LZMA TUWEKE KITU BANK ILI KUELEZEA KUWA HICHO KILICHOFUPISHA NI BANK FULANI.... Kwa mfano BOA.. yaweza itwa BARRIERS OF AUDITING (BOA)... So wanaweka hiyo ili kufafanua zaidi juu jina tajwa hapo..
Umekurupuka
BOA.png

DTB.png

NBC.jpg
 
Kwa vyovyote hujaelewa ninachotaka kukifahamu. Cooperative Rural Development Bank ni CRDB lakini pana maandishi mengine ya "Bank" ndio maana nikasema Tazama Logo!
Neno CRDB, halina kirefu tena, ndiyo maana inaongezeka neno Bank mbele kama ilivyo TIB Bank siku hizi
 
  • Thanks
Reactions: bbc
CRDB haina kirefu, ni neno moja kama ilivyo mama, mtu, azam, n,k. Baada ya kubinafsishwa mwaka 1996, bank ilibadili jina kutoka Cooperative Rural Development Bank na kuwa CRDB Ltd na baadaye 1999 ikawa CRDB Bank Ltd. Mwaka 2009 ilipojiunga na soko la hisa DSE ikawa CRDB Bank PLC.
Uko sawa aisee
 
Kampuni nyingine zinaandikwa "Pty Ltd" ' ni nini maana yake mkuu?
Leta hilo jina hapa... hakuna na sijawahi kuona hicho kitu... mara nyingi tunatumia PLC au LTD... Public ni kampuni ambayo ina wamiliki kuanzia 7 na kuendelea na ndio maana CRDB ni Plc Haimaanishi kwamba ni ya serikali bali ni ya watu wengi yaan hata wewe unaweza nunua share na ukawa mmoja wa wamiliki...
 
Back
Top Bottom