Jina la Benki hii lipi?

Jina la Benki hii lipi?

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,438
CRDB-LOGO.png

Habari za mchakamchaka wa sikukuu Wanajamvi.

Naombeni kueleweshwa kwa wale wajuvi.
Wakati benki ya CRDB inaanzishwa ilikuwa ikitambulika kama Cooperative Rural Development Bank(Benki ya wakulima au benki ya maendeleo kwa wakulima).

Je kwa sasa hivi inaitwaje hasa?
Je, ni Cooperative Rural Development Bank Bank?
[Note: Tazama Logo]
 
Ama mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
 
Nimesoma mkuu ni kama iliyokuwa Dar es Salaam community bank kubadili jina na sasa inaitwa DCB Plc
Kwa vyovyote hujaelewa ninachotaka kukifahamu. Cooperative Rural Development Bank ni CRDB lakini pana maandishi mengine ya "Bank" ndio maana nikasema Tazama Logo!
 
Ama mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
Pamoja na kuwa sio ya wakulima tena lakini mkuu ni kwanini baada CRDB kuna neno BANK?
B ilioko kwenye CRDB inasimama badala ya nini?
 
Sawa sawa na kusema barabara ya nyerere road... Ni makosa tu ya kiuandishi na wameona wastiki na CRDB kuliko kusema CRD BANK... haisound vizuri
 
Kwa vyovyote hujaelewa ninachotaka kukifahamu. Cooperative Rural Development Bank ni CRDB lakini pana maandishi mengine ya "Bank" ndio maana nikasema Tazama Logo!
We haujataka kunielewa ndio maana nikakuwekea mfano na pia kama kumbukumbu zangu zipo sahihi hata KCB haitumii tena lile jina la Mwanzo la Kenya Commercial bank ila KCB pekee.

Kwa sasa hiyo CRDB haina kirefu chochote wala maana yoyote.
 
Pamoja na kuwa sio ya wakulima tena lakini mkuu ni kwanini baada CRDB kuna neno BANK?
B ilioko kwenye CRDB inasimama badala ya nini?

Aisee kweli mkuu kwa hiyo ni bank ndani ya bank.
Sijajua Crd-B na Bank ipi ni ipi ngoja na mimi nitulie kwenye uzi huu
 
Ama mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
Labda kaangalia jina, madhumuni ya kuanzishwa benki hiyo na kinachoendelea kufanywe na benki hiyo kina uhusiano wowote na jina lake.?
 
We haujataka kunielewa ndio maana nikakuwekea mfano na pia kama kumbukumbu zangu zipo sahihi hata KCB haitumii tena lile jina la Mwanzo la Kenya Commercial bank ila KCB pekee.

Kwa sasa hiyo CRDB haina kirefu chochote wala maana yoyote.
You can't be serious
 
Ama mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
Kamaanisha ktk neno CRDB BANK neno bank limetajwa Mara 2 hapo kama ukirefusha hill CRDB na kuweka neno la mwisho BA.NK
 
MBONA swali lako easy Sana.. Kifupi umeuliza swali na ukajijibu mwenyewe
 
We haujataka kunielewa ndio maana nikakuwekea mfano na pia kama kumbukumbu zangu zipo sahihi hata KCB haitumii tena lile jina la Mwanzo la Kenya Commercial bank ila KCB pekee.

Kwa sasa hiyo CRDB haina kirefu chochote wala maana yoyote.
Ukitaka kujua kama kirefu kipo waambie wakuonyeshe BRELA wamesajili jina gani. CRDB itabaki kuwa ufupisho tu
 
Back
Top Bottom