Jina la application ya kubadili document kwenye PC!.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,198
Habari!.
Kuna application niliwahi ikuta ofisi fulani yenyewe inafanya kazi ya kuconvert maneno na kupeleka kwenye Microsoft document, excel au pdf format.
Lakini kubwa zaidi inawescan vitabu, na ikimaliza scan let say karatasi yenye namba unaweza kuconvert zile namba zikaingia kwenye Microsoft Excel moja kwa moja!.
So mfano umeletewa report unaweza ichukua ukaiscan then ukaipeleka kwenye excel kuongeza au kuangalia format zilizotumika.
Kwa anayeijua hiyo application ya naomba anitajie jina lake tafadhali!.
 
Me acha niwahi kiti cha mbele kama msikilizaji na mtazamaji. But nimewahi nikijua kuwa ni namna ya kubadiri muonekano wa file katika PC. Ningekusaidia kama nihuko basi hivyo viwango sijavifikia pia kama ni maswala ya networking kati ya computer 1 na nyingine naweza kujaribu
 
Hapana nataka hiyo application kupunguza usumbufu wa kuandika upya data!.
 
Ingia google convert word to pdf au format yeyote zitakuja website kibao huna haja ya kudownload application unabadilishia online tu
 
Habari!.
Kuna application niliwahi ikuta ofisi fulani yenyewe inafanya kazi ya kuconvert maneno na kupeleka kwenye Microsoft document, excel au pdf format.
Lakini kubwa zaidi inawescan vitabu, na ikimaliza scan let say karatasi yenye namba unaweza kuconvert zile namba zikaingia kwenye Microsoft Excel moja kwa moja!.
So mfano umeletewa report unaweza ichukua ukaiscan then ukaipeleka kwenye excel kuongeza au kuangalia format zilizotumika.
Kwa anayeijua hiyo application ya naomba anitajie jina lake tafadhali!.
Nipo nayo moja. Inaweza Ku convert picha kwenda ms word,excell, PDF. Ina preserve formating zote, font size, font type, spacing. Njoo Pm ukiitaji
 
Ingia google convert word to pdf au format yeyote zitakuja website kibao huna haja ya kudownload application unabadilishia online tu
Mkuu hii application nayotafuta siyo ya kuconvert kama unavyofikiria!.
Yenyewe mfano umeletewa riport ya bajeti sasa zile calcuration unazi scan then zinatokea kwenye micro-excel ukaweza ongezea!. Yani haiscan maneno kuwa picha ina scan maneno kwenye karatasi kuwa namba kwenye computer
 
Nipo nayo moja. Inaweza Ku convert picha kwenda ms word,excell, PDF. Ina preserve formating zote, font size, font type, spacing. Njoo Pm ukiitaji
Tuelewane kwanza, unaiuza!?.
 
Back
Top Bottom