Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

PENDO MAGA... ASEee kumanina zako eti....form two tulikua na mapenzi kama ya wahindi,,,nlikua nasoma uku nimelalia mapaja yako,, nyoko wewe nlijiona ni headmaster wa shule kwa kumiliki mtoto mzuri skuli nzima....mavi ya birihani weweeeee.....ukasabibisha matokeo kua mabovu ya fm 2 na 3 mchambia uso wewe....nlikulinda pendo ata walimu hawakukusumbua.....namaliza six ukanipga kibuti cha mbavu changa eti kisa umepata mwana anapga kazi voda.....unampa bwana wako sim anachat na mimi kenge wa singida wewe....sasa yule muhuni kumbe customer care....hahaahaaa....bwaahaaaa..nacheeka kwa dharauuuu...ameoa mtu mwingine najua sura imekushuka kama futari ya magimbi nyani wa gombe wewe.......yani uendelee kuaa kimya ivo ivo,,,,,ukithubutu kuntafta nakupika ftari na mishkaki afu nakufuturu......hopeless maandazi wewe.....nyoko kabisaaaaa..kwanza
mamaeee we....

.
 
Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.

1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?

3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.

4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.

4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.

Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.

Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
yaani kweli kazi sana mimi jina unalolisfia la ''v'' ndo sitaki hata kulisikia so kama ndo huyo imekula kwako ila huyu mpuuzi, na mshenzi anaishi moro na alikua ana bwana dodoma ananidanganya ni baba yake kumbe mtombaji mwingine na mwingine dar...sijui anashida gani kichwani na ana mtoto mmoja basi wa kiume ila anavokitembeza ni hatari
 
Roda,secy,angel,ester,yasinta popote mlipo k zenu woooote dadeki hasa ww angel ww dadeki zako walai
 
grandna mshe**I sana popote ulipo.wafuatao n wengne ila hawamzidi huyo kiaz apo juu.
Bernadetha,petronila,Hawa, Karen......
ntakuja tena nkipata wasaa
 
Ivi hizi nyuzi ziko wapi? Mbona siku hizi huwa sizioni? Aisee huu na hizo ni nyuzi balaa sana zinafurahisha na kuhuzunisha humohumo
Kuna Nyuzi Nikitaka kucheka lazima Nizipitie Aisee... Kuna huu,Mazingira uliyowahi kufanya Mapenzi na Ule siku ya Kwanza kupanda Ndege..
 
Jescar popote ulipo alikuwa akija geto akinya haflash siku ya kwanza nikajua kasahau kumbe ndo ilikuwa tabia yake nyumba ya kupanga choo tuna share alikuwa ananiaibisha sana yan ilikuwa hata anaenda kukojoa akitoka tu naenda kuhakikisha niliwah mwambia akachukia usiku mzima akaninyima mwajuma domo wazi
 
Jescar popote ulipo alikuwa akija geto akinya haflash siku ya kwanza nikajua kasahau kumbe ndo ilikuwa tabia yake nyumba ya kupanga choo tuna share alikuwa ananiaibisha sana yan ilikuwa hata anaenda kukojoa akitoka tu naenda kuhakikisha niliwah mwambia akachukia usiku mzima akaninyima mwajuma domo wazi
Huyo demu wa kijiji gani mamaee aibu hiyo
 
Jescar popote ulipo alikuwa akija geto akinya haflash siku ya kwanza nikajua kasahau kumbe ndo ilikuwa tabia yake nyumba ya kupanga choo tuna share alikuwa ananiaibisha sana yan ilikuwa hata anaenda kukojoa akitoka tu naenda kuhakikisha niliwah mwambia akachukia usiku mzima akaninyima mwajuma domo wazi
loh nan aone mzigo wake au alikuwa wa bush hajui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom