jina clion jaman nimeumia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jina clion jaman nimeumia

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kidulile1, Sep 21, 2012.

 1. k

  kidulile1 Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yan bora hata awa heslb wangetoa majna hata ya tuliokosa tujue kuliko kutoyaona kabsa
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  nasikitika kusema kua kama hujaliona jinalako kwenye list ya walio pata mkopo na ile ya walio kosea, basi utakua umekosa mkopo, pole sana ndugu yangu usikate tamaa
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh.....pole sana jaribu hlssb!!!
   
 4. r

  robert komba Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka inaitwa hlssf!!vipi unaijua vizur na mm unihakikishie niombe??
   
 5. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 2,437
  Likes Received: 2,164
  Trophy Points: 280
  wanajiandikisha kwenye ofisi zao maeneo ya M/mmoja sas cjui kama bado wanaandikisha au walishatoa majina
   
Loading...