Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,685
Usinichokoze, Maana Nimekuwa Mhariri Wa Ngazi Kwa Miaka Minne Nikiwa Peramiho Major Seminary
Ukifotolewa picha na babu wa Kijerumani ili kuipamba Ngazi???basi watoto wa Amigu mpo wengi....
Usinichokoze, Maana Nimekuwa Mhariri Wa Ngazi Kwa Miaka Minne Nikiwa Peramiho Major Seminary
Fr Chengula si wajimbo la njombe amezaliwa njombe lakini yuko registered jimbo la iringa.
Maaskofu kutoka Jimbo la Iringa ni
1. Mario Mgulunde marehemu sasa
2. Evaristo Chengula Mbeya sasa
3. Ngalalekumtwa Iringa
4. Kikoti marehemu sasa
5. Lunyungu jimbo la tunduru masasi sasa amestaafu
6. Msemwa tunduru masasi
7. Damian Dallu huyu sinauhakika kama yuko registered Iringa ingawa amekulia na kusoma iringa kama sikosei
8. Norbert Mtega Songea ila amestaafu.
Hawa ndo maaskofu kutoka jimbo la iringa.

Dodoma sio Jimbo kuu mkuu...
Huyu Askofu Norbert Mtea kuna jambo amelifanya na ndio maana amejiuzulu na kwa taharifa ni kuwa hayupo Tanzania yupo Ujeeumani na afya yake ni nzuri tu...
Naomba totauti ya jimbo kuu na jimbo la kawaida, madaraka na mipaka ya maaskofu husika. Mimi sio Mkatoliki, naomba kujuzwa.
asante sana rafiki....
Kwa nini jimbo la lringa linatoa maaskofu wengi nchini? Huyo Dallu wa lringa, Mtega nae wa lringa, kuna Chengula-Mbeya wa lringa.
Askofu wa kwanza wa songea anatoka songea.hayati Yakobo Yafunan KombaLini jimbo kuu la Songea litatoa askofu?
Hv hajarudi hadi leo!?Huyu Askofu Norbert Mtea kuna jambo amelifanya na ndio maana amejiuzulu na kwa taharifa ni kuwa hayupo Tanzania yupo Ujeeumani na afya yake ni nzuri tu...
Daah! Fr Amigu kichwa kwenye scriptureUkifotolewa picha na babu wa Kijerumani ili kuipamba Ngazi???basi watoto wa Amigu mpo wengi....