- Jamani sijasema nitagombea hilo jimbo, Mahanga is my great friend simauombei mabaya hata siku moja, nilichosema ni the story sounds very interesting, that is all sasa naona watu mnaenda mbali sana kwamba nimetangaza kugombea wengine wananitumia inbox za ushauri wa kumwaga mtama kwenye kuku, please jamani nilipogombea EALA mbona nilikuj a hapa very late, I mean
- Nasema tena sina mpango wowote wa kugombea anything sasa hivi, napumzika kwanza, Ughaibuni 30 years, na kurudi hapa miezi mitatu tu moja kwa moja kwenye kampeni za Ubunge, I mean I need a break kwanza, ingawa yes mimi ni mkazi wa Segerea, nimekulia Segerea, nina makazi Segereea, ninaijua Segerea n je ndani, lakini haina maana jimbo likiwa wazi basi nitagombea, please people nahitaji kupumzika kwanza yaani Vacation, na kuzunguka kidogo kama leo kuongea na wasomi na wananchi wa kawaida kusikiliza wanasema nini.
- PLEASE READ MY LIPS, SIGOMBEI ANYTHING!, NIPO VACATION!
Willie @DSM City!
Mkuu inaonekana mishikaki ya Mfajo ilikukuna! Kwa Mfojo pale Segerea kwa Bibi alopokuwa akiishi Rama mla vichwa ndipo inapatikana mishikaki maridhawa hapa mjini Dar. Panafunga kinoma. Baru ukija tena Bongo niambie nikupeleke pale ili upate VIP treatment.
Je unakujua kwa Mfojo?
Naomba ukishuka ughaibuni mimi nitakuwa pale silver spring, Richmond, DC, kuanzia wiki ijayo insh'Allah mapumziko. Naomba unifungashie mishikaki yake uniletee.... joke
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
how comes ukae ughaibuni miaka 30 halafu bado ujisifu unaijua segerea
"it sound interesting" sio Kiingereza!
- Kiswahili au? ha! ha! ha! ha! Great Thinker!
William.
Huyu W.J. Malecela zamani nilikuwa nadhani yuko well governed up-stairs lakini siku zinavyozidi kwenda hasa kuanzia kwenye ule mchakato wa EALA pale bungeni kutokana na hoja zake alizotoa na fyongo anazoendelea kumwaga humu jf kwa sasa namchukulia kama NDUNYA fulani hivi! huyu ni mtafuta sifa na cheap popularity ni bora sana alivopigwa chini EALA maana angetuaibisha, naona mzee wa katapila alichelewa sana ku-plant mtu wake wakati wenzake walishawahi zamaani, what a pity! rudi kapige deki melini, siasa za TZ na hasa ccm huziwezi!
Aisee yaonesha ukoo wenu matatizo sana
your Brother Li Lusinde MB kule Arumeru matusi yakumwaga
John Malecela Lusinde -- tulipomtaka awajibike akatutusi 'GO TO HELL'
Your brother somebody Job Lusinde - mwanzilishi wa ZEUTAMU
wewe ndio usiseme @@@@@@@@@@@@@@
Lengeri
- ha! ha! ha! kwa sisi politicians hii yako inaitwa changamoto! saafi sana kumbe mnaniogopa hivi, saafi sana kujua! ha! ha! ha! ha!
- Keeep it on!
Willie @DSM City!
- Kwenye siasa hizi tunaita kelele za mlango, huwa hazizuii watu wengine kuendelea na mambo yao! ha! ha!, uzima wa binadam huonyeshwa na maneno yake jipime kwanza! ha! ha! ha!
William.
kula ccm, kura cdm
- Kama mimi nimevua nguo na wewe ukivua tunakua wote wendawazimu! ha! ha! ha! ha! karibu sana mkuu wangu, this is William John Samwel Malecela, original ukiona mwingine wa kuchonga1 ha! ha1
William.
Mkuu Kimbunga,
Siku hizi Waberoya yupo kwenye ile group maarufu ijulikanayo kama Rejao & Co Ltd. So katika mijadala kama hii huwezi kuona hilo group likicoment chochote lakini subiri TUNTEMEKE alete thread yake ndiyo wanaibuka!
Wewe una akili za kitoto na huna hadhi ya ku-debate na watu wazima humu jf, u r talking irrelevant and childish things, hebu vaa diapers ukalale naughty boy!
Wewe una akili za kitoto na huna hadhi ya ku-debate na watu wazima humu jf, u r talking irrelevant and childish things, hebu vaa diapers ukalale naughty boy!
- ha! ha! ha! sasa mkuu ngoja tutumie logic kidogo tu, mimi nina akili za kitoto na wewe una akili za kikubwa sasa kweli unatumia nguvu zote hizi kuzima hoja za kitoto tu? ha1 ha! ha! ha! ha! incredible sana! ha!
William.
- ha! ha! ha! sasa mkuu ngoja tutumie logic kidogo tu, mimi nina akili za kitoto na wewe una akili za kikubwa sasa kweli unatumia nguvu zote hizi kuzima hoja za kitoto tu? ha1 ha! ha! ha! ha! incredible sana! ha!
William.
Mkuu inaonekana mishikaki ya Mfajo ilikukuna! Kwa Mfojo pale Segerea kwa Bibi alopokuwa akiishi Rama mla vichwa ndipo inapatikana mishikaki maridhawa hapa mjini Dar. Panafunga kinoma. Baru ukija tena Bongo niambie nikupeleke pale ili upate VIP treatment.