Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,316
- 111,471
Kutokana na mfumo mbovu unaooneshwa na baadhi ya Member wenzetu hapa katika kupashana habari napendekeza Invisible kesho ndiyo abebe jukumu la kuanzisha thread kwa Mtindo wa LIVE ili members wengine ndio watakuwa wanatupia habari kwenye thread.
Manyanza Asante kwa kunielewa mtizamo wangu maana walisema miluzi mingi humpoteza Mbwa, Tunaomba Invisible azingatie ushauri huu ili kutokuwachosha watu humu kesho kuzungukazunguka.well said mkuu, maana bila hivyo kesho humu itakua vurugu kila mmoja atajifanya ni reporter.. Invisible tunakuomba mkuu kama hautajali ufanye kama mkuu Matola alivyotoa pendekezo
TUMBIRI ni kwa nini una underestimate the power of JF Team? umetumia akili zako kufikri kabla ya kuandika au umeandika halafu ndio unaanza kufiri?Matola,
Katika hali ya kawaida mwanzisha thread ndiye anatakiwa awe eneo la tukio kwa ajili ya kutoa habari. Sasa hili wazo lako naona halipo kiuhalisia maana utakuwa unaendeleza tabia zilezile za baadhi ya member ambao wanakurupuka kuanzisha thread alafu wanategeme wengine wajaze habari. Mi nashauri mtu atakae kuwa Mahakamani ndiye aanzishe thread ya Live.
Manyanza Asante kwa kunielewa mtizamo wangu maana walisema miluzi mingi humpoteza Mbwa, Tunaomba Invisible azingatie ushauri huu ili kutokuwachosha watu humu kesho kuzungukazunguka.
Mimi nikiwa kama mdau wa Maendeleo Segerea najuwa fika ni nini kitatokea kesho na ndio maana naomba hata walioko ughaibuni wajione kama wako LIVE mahakamani kufuatilia hukumu ya kesho.
Hivi mtani wangu unaqoute kivipi ili jina litokee kama hapo kwenye red? sorry out of topic:help::wave:
TUMBIRI ni kwa nini una underestimate the power of JF Team? umetumia akili zako kufikri kabla ya kuandika au umeandika halafu ndio unaanza kufiri?
Yaani matukio makubwa kama haya yatokee Dar es salaam halafu JF Team isiwepo pale kuripoti hivi umeshirikisha ubongo wako katika hili?
MatolaTUMBIRI ni kwa nini una underestimate the power of JF Team? umetumia akili zako kufikri kabla ya kuandika au umeandika halafu ndio unaanza kufiri? Yaani matukio makubwa kama haya yatokee Dar es salaam halafu JF Team isiwepo pale kuripoti hivi umeshirikisha ubongo wako katika hili?
Matola,
Bahati nzuri wewe ni Mchadema mwenzangu na wote tunaishi Segerea. Kwa kifupi sijaunderstimaete the power of JF team. Ninachokwambia ni kwamba tuwaache moderators wafanye kazi zao na sisi members tuendelee kuenjoy haki yetu ya kuleta na kupokea habari humu Jamvini. Kwenye hoja yako labda ungeweka msisitizo kwamba atakaekuwa mahakamani ndiye aanzishe thread hapo nimekuelewa.
Ukumbuke pia Invisible ni mwanadamu kama sisi. Wewe unataka kesho aanzishe thread ya Live ya hukumu ya Jimbo la Segerea, Je unajuaje kama kesho Mungu atamjalia uhai (Ingawa sipendi itokee)? Na kama atakuwa hai unajuaje kama ataamka saa tisa jioni? Je huoni kwamba watu watakuwa kwenye tension ya kusubiri na kutafuta thread ya Invisible wakati may be Invisible wakati huo labda katingwa na majukumu mengine? Au unadhani Invisible anashinda JF?
Matola
Bahati nzuri wewe ni Mchadema mwenzangu na wote tunaishi Segerea. Kwa kifupi sijaunderstimaete the power of JF team. Ninachokwambia ni kwamba tuwaache moderators wafanye kazi zao na sisi members tuendelee kuenjoy haki yetu ya kuleta na kupokea habari humu Jamvini. Kwenye hoja yako labda ungeweka msisitizo kwamba atakaekuwa mahakamani ndiye aanzishe thread na awa anaupdate. Hapo ningekuelewa.
Ukumbuke pia Invisible ni mwanadamu kama sisi. Wewe unataka kesho aanzishe thread ya Live ya hukumu ya Jimbo la Segerea, Je unajuaje kama kesho Mungu atamjalia uhai (Ingawa sipendi itokee)? Na kama atakuwa hai unajuaje kama ataamka saa tisa jioni? Je huoni kwamba watu watakuwa kwenye tension ya kusubiri na kutafuta thread ya Invisible wakati may be Invisible wakati huo labda katingwa na majukumu mengine? Au unadhani Invisible anashinda JF?
Umenena vyema, nadhani hata Mods wataungana na wewe kwa sababu tunawasumbuwa sana kulazimika kuziunganisha thread kila wakati.Hili wazo nadhani ni sahihi sana Matola..!
Katika mazingira ya sasa member wengi wanakuwa na hisia kali pale kunapokuwa na tukio kubwa, na mara nyingi inapelekea vurugu na kupotea kwa mtirirko wa habari, pia huwa inawaongezea kazi zisizo za ulazima Mods wetu!
Pia ni kweli uzi akianzisha Invisible unabeba kiasi kikubwa cha kuaminiwa!
Dr. Kupeng'e, umeona mambo ya tag utamu wake?