mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Kuna bendi imeanzishwa inaitwa Vuvuzela Jazz band anaweza jiunga kama mpiga solo
Mbona tayari NAPE na MAGUFULI wamejiunga na hiyo bend
Wamefanya maamuzi magumu kwani wanajua uongozi hawawezi. hivyo tujiandae tu karibuni wanapakua CD yao ya kwanza.