Jimbo la Mtama Nape hali mbaya

Jimbo la Mtama Nape hali mbaya

UKAWA bado ipo juu.

NAPE hawezi kuchukua Jimbo labda atumie hizo mbinu zake za GOLI LA MKONO.

NAPE siyo mzawa wa MTAMA. Amedandia gari moshi kwa mbele.
 
[h=2]
icon1.png
Hatimaye wagombea ubunge Upinzani Mtama wamaliza tofauti zao[/h]
Na.Ahmad Mmow, Lindi.

Wagombea wa ubunge katika jimbo la Mtama, wilaya ya Lindi vijijini, kutoka katika vyama vilivyopo kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), Isihaka Mchinjita(CUF) na Seleman Methew(CHADEMA) wamemaliza tofauti zao zilizotokana na mgogoro wa kugombea jimbo hilo.

ukawa%2Bumat.jpg
Mgogoro ambao ulianza kuwagawa wafuasi wa wagombea hao kiasi cha pande hizo kutuhumiana kutumiwa na Chama Cha Mapinduzi(CCM).

Wakizungumza baada ya kikao kirefu cha ndani kilichofanyika katika kijiji cha Kiwalala kwenye ukumbi wa kanisa la Romani Katoliki, mbele ya wafuasi na wanachama wa vyama hivyo waliokuwa wanasubiri kusikia yaliyofikiwa kwenye kikao hicho.

Wagombea hao walisema wameamua kumaliza tofauti zao baada ya kubaini mgogoro huo utakipa nafasi Chama Chama Mapinduzi kushinda uchaguzi katika jimbo hilo.

Isihaka Mchinjita alisema mgogoro huo ungekinufaisha CCM bila wao kujua kwamba wanakinufaisha chama hicho wakati wanasubiri tamko toka kwa viongozi wa juu wa vyama vyao la kumtangaza kati yao kuwa mgombea.

Alisema kwa kuwa wao ndio waathirika wa mgogoro huo, ndipo wakaamua kutafuta muafaka ambao utasaidia kupambana kwa pamoja kuiondoa CCM katika jimbo hilo, badala ya kuendelea kuhasimiana.

"Tuliyokubaliana ni mambo mazuri ambayo yamezingatia maslahi ya vyama vyote viwili, tamko rasmi la tuliyokubaliana tutalitoa kwapamoja kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika tarehe 29 mwezi huu," alisema Mchinjita.

Selemani Methew, alisema "ilikulinusuru jimbo lisiangukie mikononi mwa CCM wameamua kufanya jambo ambalo litasababisha lichukuliwa na chama cha upinzani."

Hatuwezi kuendelea kugawanywa wakati lengo letu ni kudiliti CCM(kukifuta Chama Cha Mapinduzi), tulieni wananchi, tuliyokubaliana yanania mzuri mtayafurahia,"alisema Methew.

Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Lindi vijijini, Chikawe Namkaa, alisema wamefikia uamuzi huo ili kurejesha amani katika jimbo hilo kutoka kwenye uhasama uliokuwa na pande tatu. Alisema hali ya usalama katika jimbo hilo imeanza kuwa tete kwa baadhi ya wanachama na wafuasi wa chama chake kuwindwa na kupigwa.

"Mahasimu walikuwa wanatumia mgogoro baina yetu kuwapiga wafuasi wetu nyakati za usiku wakijificha nyuma ya mgogoro huu,"alisema Namkaa.

Mwenyekiti huyo alisema watashirikiana na CUF kuweka ulinzi iliwafuasi wapande zote mbili wasidhuriwe na wafuasi wa vyama ambavyo wagombea wake waubunge wanajua hawatashinda na kuamua kukodi wahuni kwenda kuwapiga na kuwatisha wanachama wa chama hicho.

"Tumeondoa tofauti zetu, natutashirikiana katika suala zima la ulinzi, lakini pia makubaliano haya yamefungua mlango wa kutokea ccm kwenye madaraka katika jimbo hili," aliongeza kusema Namkaa.

Mazungumzo ya wagombea hao yaliongozwa na maofisa wa kutoka makao makuu. Ambapo kwa upande wa CUF uliwakilishwa na katibu mkuu wake wa jumuia ya wanawake, Fatma Kalembo, na CHADEMA kiliwakilishwa na Oliver Mwinuka. ambaye ni mratibu wa mikutano na misafara ya mgombea mwenza wa urais kupitia UKAWA, Juma Duni.

source. LindiYetu

Jana trh 29 hakukuwa na mkutano wowote na wote wanasimama kugombea Ubunge jimbo la Mtama
 
UKAWA bado ipo juu.

NAPE hawezi kuchukua Jimbo labda atumie hizo mbinu zake za GOLI LA MKONO.

NAPE siyo mzawa wa MTAMA. Amedandia gari moshi kwa mbele.

Kwa taarifa tu Kati ya Nape, Methew na Mchinjita ni mchinjita pekee ndiye mzawa wa Mtama. Tafuta hoja nyingine
 
UKAWA bado ipo juu.

NAPE hawezi kuchukua Jimbo labda atumie hizo mbinu zake za GOLI LA MKONO.

NAPE siyo mzawa wa MTAMA. Amedandia gari moshi kwa mbele.

Sasa huyu Nape atakuwa mzaliwa wa wapi? Maana Mzee Nnauye kama sikosei ni wa kule Newala na ukoo umemkataa Nape asijihusishe nao kama hilo jina analitaka shauri yake. Kule Mbeya kwa mzee Mwandosya nako ni kitimutimu hata kwenda kujitambulisha haiwezekani, mbona sasa majanga!
Huyu kijana sasa anaishi kama mkimbizi ndani ya nchi yake maana hata uchaguzi uliopita alijaribu Ubungo ccm wakamtosa, amekosa nini jamani? Kwani yeye kuwa product ya Mbio za mwenge lilikuwa kosa lake? Hebu tumuonee huruma kidogo kwani ni Mtanzania mwenzetu. Pamoja na kuwa na tabia chafu ya matusi kwa wakubwa bado ipo nafasi ya kumrekebisha kwani tatizo ni kukosa malezi bora ya wazazi kutokana na kutengwa tengwa toka akiwa mdogo. Kumbukeni hata mzee Makamba alisema huyo Nape hafai duniani hadi Mbinguni
 
Shukrani ya tangazo la tanzia waliorozesha majina ya watoto wote wa Marehemu Brigadia Mosses Nnauye jina la Nape halikuwemo.Tumewahi kumuuliza hilo swala hapa jamvini ni kwanini familia ya Mosses inakutenga kashindwa kutujibu.

Sasa huyu Nape atakuwa mzaliwa wa wapi? Maana Mzee Nnauye kama sikosei ni wa kule Newala na ukoo umemkataa Nape asijihusishe nao kama hilo jina analitaka shauri yake. Kule Mbeya kwa mzee Mwandosya nako ni kitimutimu hata kwenda kujitambulisha haiwezekani, mbona sasa majanga!
Huyu kijana sasa anaishi kama mkimbizi ndani ya nchi yake maana hata uchaguzi uliopita alijaribu Ubungo ccm wakamtosa, amekosa nini jamani? Kwani yeye kuwa product ya Mbio za mwenge lilikuwa kosa lake? Hebu tumuonee huruma kidogo kwani ni Mtanzania mwenzetu. Pamoja na kuwa na tabia chafu ya matusi kwa wakubwa bado ipo nafasi ya kumrekebisha kwani tatizo ni kukosa malezi bora ya wazazi kutokana na kutengwa tengwa toka akiwa mdogo. Kumbukeni hata mzee Makamba alisema huyo Nape hafai duniani hadi Mbinguni
 
umeanza vzr ila mwishoni ukaweka ya kwako!

Nape ni janga na inatakiwa watu wa mtama wachukuwe tahadhali dhidi yake wamwondowe kwa kura nyingi halafu tumsubiri kona ya bbc na dw
 
UKAWA bado ipo juu.

NAPE hawezi kuchukua Jimbo labda atumie hizo mbinu zake za GOLI LA MKONO.

NAPE siyo mzawa wa MTAMA. Amedandia gari moshi kwa mbele.

Hizi siasa za ubaguzi siyo njema kwa nchi yetu. Sikutegemea kauli kama hii kutoka kwako.
 
Hizi siasa za ubaguzi siyo njema kwa nchi yetu. Sikutegemea kauli kama hii kutoka kwako.

Wananchi wa MTAMA walimwambia Mathew ajiunge na chama kingine kwani wana imani naye. Ndio maana walirudisha kadi. NAPE hatoki MTAMA kwa nini asiende kugombea eneo lake?? Anajua hakuna wa kumchagua, na pia kule MTAMA alitumia rushwa zile Mil.3 alizokamatwa nazo zilikuwa kwa ajili ya kuwarubuni wananchi ndio maana walikata jina la Mathew na kumuweka NAPE RUSHWA.

CCM Kadi 03.jpg

Hapati kitu ataendelea kuwa MC wa CCM lakini siyo bungeni.

Watu wanataka mabadiliko na siyo porojo za kisiasa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Sasa huyu Nape atakuwa mzaliwa wa wapi? Maana Mzee Nnauye kama sikosei ni wa kule Newala na ukoo umemkataa Nape asijihusishe nao kama hilo jina analitaka shauri yake. Kule Mbeya kwa mzee Mwandosya nako ni kitimutimu hata kwenda kujitambulisha haiwezekani, mbona sasa majanga!
Huyu kijana sasa anaishi kama mkimbizi ndani ya nchi yake maana hata uchaguzi uliopita alijaribu Ubungo ccm wakamtosa, amekosa nini jamani? Kwani yeye kuwa product ya Mbio za mwenge lilikuwa kosa lake? Hebu tumuonee huruma kidogo kwani ni Mtanzania mwenzetu. Pamoja na kuwa na tabia chafu ya matusi kwa wakubwa bado ipo nafasi ya kumrekebisha kwani tatizo ni kukosa malezi bora ya wazazi kutokana na kutengwa tengwa toka akiwa mdogo. Kumbukeni hata mzee Makamba alisema huyo Nape hafai duniani hadi Mbinguni

maisha ya nepi yamekuwa ya mwanza na mama yake yupo kwimba. aende kwa wasukuma tu
 
Alimpitisha magufuli akawahi kuchukua fomu ya ubunge akijua atakuwa waziri magufuli akishinda sasa chombo kinawaendea mrama na wakose tu heshima iwepo maana akipata tutapumulia macho badala ya pua/mdomo
 
Mkuu mvuto wa nini tena kwani kuna mashindano ya warembo?

Jibu swali kwa nini UKAWA wameweka wagombea wawili katika jimbo moja nataka kusikia kauli kutoka kwa viongozi wa UKAWA siyo fikra zako mkuu.

Kwenye orodha ya wagombea ubunge wa UKAWA jimbo la Mtama wamepewa CUF wewe tena unaniambia kwa jinsi unavyoelewa wewe sijui wewe ni nani UKAWA.

Hiyo wewe haikuhusu..wewe jua tu hilo jimbo haliendi CCM. Umuandae Nape kupiga vuvuzela
 
Mkuu;

ongea NAPE anatokea jimbo gani na Mathew anatokea jimbo gani ndipo tutakulelewa.

Ukiongelea watu wametoka jimbo gani hapo unakosea.

niambie hao wawili ni wa jimbo gani, huko unakojua wewe.

Hatuongei mambo ya Kilwa hapa. Huko Kilwa tunachukua.

MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
Nini kisichoeleweka ndugu yangu? Nimesema kwamba maoni ya watu wengi wanaposema Mtama wanamaanisha kile kijiji chenyewe cha Mtama ambacho kipo barabara kuu itokayo Lindi kwenda Masasi lakini tunposema jimbo la Mtama; hili ni jimbo ambalo limeundwa na vijiji vitupu na vingi vipo ndani ndani na wapita njia wala hawavifahamu! Sehemu ambazo Mathew labda anaweza kufurukuta ni hapo Mtama penyewe, Mnazi MMoja, Kiwalala na nyangao! Hivi ni vijiji vikubwa na vimechangamka sana lakini ukiacha hivyo vijiji bado kuna vijiji vingi sana vipo ndani ndani huko! Lakini hata ninaposema Mathew anaweza kusumbua, sio kwa staili ya eti ndo amshinde Nape... sioni huo uwezekano!

Kwahiyo hoja hapa ni kwamba watu wasiangalie mihemuko iliyopo Mtama pale makao makuu ya jimbo wakati wakati kuna vijiji vingi sana ambavyo hata hao waleta mada hapa hawavifahamu na hata kusikia si ajabu hawajawahi kuvisikia! Don't forget, Lindi ni mkoa mkubwa sana kieneo!
 
Back
Top Bottom