Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Wapiga kura
Hapana sio hivo
Mshindi wa Kiti cha Bunge Moshi vijijini mwaka 2010
alipata takribani kura 29,345
Huku aliekua Mpinzani wake akipata akimpita kwa kura 129.
Wapiga kura
mbuge asiekua na makuu maendeleo kila kona barabara za lami hospitali zinaboreshwa usalama umeboreshwa dhana ya tullinde misitu yetu imesimamiwa mungu ametupa genios tumshukiru