Jimbo la Moshi vijijini halina mpinzani

Jimbo la Moshi vijijini halina mpinzani

gilbert14

Senior Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
117
Reaction score
17
dr chami anahitaji mihula mingine watanzania tuangalie viongozi bora tuache ushabiki wa vyamaa hususani vijana
 
acha ujinga we.we ni mp.mb.avu. Lazima apigwe chini namimi niko huku.
 
mbuge asiekua na makuu maendeleo kila kona barabara za lami hospitali zinaboreshwa usalama umeboreshwa dhana ya tullinde misitu yetu imesimamiwa mungu ametupa genios tumshukiru
 
''kazi kwetu vijana pale mabadiliko yanahitajika,chami haonekani jimbon wala hana mchango wowote bungeni''
 
iondoke ya nini ngawaiya alipewa wakaishia kutuwekea matank ya lami kiukwel chami kajitahidi
 
hivi vijana mmaowazungumzia no wale ambao awajitumi eti serekal jaman tusibeze maendeleo ya mbunge wetu
 
sehem ambayo chami atakayo pata kura ni kijijini kwake manushi sinde,kahe, chekereni, uru mwasi,

hivi vijiji hasahau kabisa kindi yote kwa maana kwamba sambarai, dungi boro, mpaka kindi juu.

Umbwe kwa maana kwamba mkombole, uri, mawalenh, mkosaki, mango, utaruni, mseseweni na maeneo mengine.
 
Sasa mkuu.
Mbona hivi vijiji hakuna Alama za vyama za Upinzani.
Otaruni
Uri
Maseseweni
Mkombole
Usaki
Sisamaro
Central na sehemu za Umbwe
Mango
Kwanini huku hakuna hio kitu.
 
Tatizo la moshi vijijini ni kwamba wapiga kura wake wengi wapo mijini kwa hiyo wakati huu wa kuboresha daftari la wapiga kura nendeni mkajiandikishe nyumbani kwenu ili kama mnahitaji mabadiliko muweze kuyafanya. Ukweli kuhusu Chami hawezi kumsaidia mtu yoyote wa chini hadi wakati wa kuomba kura. Unachezea mtu kuwa mbunge kwa kura 3500!
 
Kura za Maoni ccm
au kura za Wapiga kura mkuu.
 
Back
Top Bottom