Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Nimesikia mwenyekiti wa chama na serikali akisema kuwa majimbo yanayo ongozwa na ccm yana piga hatua kimaendeleo swali langu misungwi Mwanza lina ongozwa na chama gani kwa sababu wananchi wa jimbo hili wana shida sana ya miundombinu kama vile maji umeme na barabara nyingi ni za vumbi au tuna angalia Singida kwa kuwa lilikuwa lina ongozwa na upinzani