mafimboo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 2,415
- 978
Kama ndio mawazo yako hayo
Subiri kilio kikuu
Haki ya mtu haipotei
God bless mikumi
God bless ccm
God blesd nkya
hapa kazi tu
unaota ndoto .mchaga ashinde mikumi
Kama ndio mawazo yako hayo
Subiri kilio kikuu
Haki ya mtu haipotei
God bless mikumi
God bless ccm
God blesd nkya
hapa kazi tu
Mnamkata profesa mnamlilia mchagga awatawale? kabila la watu wabinafisi na wenye ukabila.
Ni ule wizi, ulaghai na usanii uliofanywa na mgombea wa UKAWA, Joseph Haule kwa kushirikiana na mkurugenzi wa Kilosa kwa kuedit fomu ya matokeo ya mkurugenzi ya ubunge halisi ya jimbo la Mikumi.Huku wakisahau kwamba kuna fomu zingine hubakia kwa kila karani wa chama cha siasa.Sasa ulaghai huo umepingwa mahakamani na wapenda haki tunasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka jimboni hapa mikumi.
Matokeo halisi ni mgombea wa CCM.
Wakili Jonas Nkya alimzidi msanii Joseph Haule kwa tofauti ya kura 1,130
#hatuwezi kuongozwa na mtu ambae hatukumchagua.

uliza watu wa moro mjini kuhusu wasifu wa huyo nkya na utapeli wa magari.huo uwakili wake kesi gani alishiriki na akashinda?
Maana maccm yanawabagua wachagga wameru na watu wa kaskazini wanaita kila mtu mchagga(kama ni kamanda wa cdm)leo hii mnajeuka kumtaka mkaskazini naona akiwa ccm si mchagga na hatoki kaskazini-Napinga sana ukabila na ukanda ila nawakumbusha tu CCM na lugha zenu za chaggadema nk.Huyo Nkya angegombea CDM mngenza na mineno ya kibaguzibaguzi kama makaburu
Hivi kweli unamtetea huyuhuyu aliyekuwa akinunua mitihani tukiwa pale Mzumbe
Huyu huyu aliyekuwa akiuza nyumba za mama yake hadi wanataka kupigana bastolaaaa???
Huyuhuyu anaetapeli watu magari hapa moro????????????????????????????????????????????
Huyuhyu tapeli wa Moro aliepeleka pesa zote kwenye siasa na hazijazaa matunda???
Nafahamu mmepeleka makaratasi feki mahakamaniiii, hata uchaguzi ukirudiwa mara elfu kumi huyu kanjanja wako hapatikitu
Ni ule wizi, ulaghai na usanii uliofanywa na mgombea wa UKAWA, Joseph Haule kwa kushirikiana na mkurugenzi wa Kilosa kwa kuedit fomu ya matokeo ya mkurugenzi ya ubunge halisi ya jimbo la Mikumi.Huku wakisahau kwamba kuna fomu zingine hubakia kwa kila karani wa chama cha siasa.Sasa ulaghai huo umepingwa mahakamani na wapenda haki tunasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka jimboni hapa mikumi.
Matokeo halisi ni mgombea wa CCM.
Wakili Jonas Nkya alimzidi msanii Joseph Haule kwa tofauti ya kura 1,130
#hatuwezi kuongozwa na mtu ambae hatukumchagua.[/QUOTEHahahahah braza unachekesha wewe jimbo la mikumi una kaha mitaa gani kwanza kabla ya yote
Endelea kuweweseka tu
Ushahidi upo
Yeye mwenyewe n wakili
Sasa unasema huyo wakili anamlia hela
Hahaa
huku n kupanik
Tusiongee sana
Kesi iko mahakamani
tusubiri
na haki itatendeka.
Jamaa yako Nkya kashafukuzwa kazi mzumbe university sasa hivi anaweweseka na ubunge,mwambie anamaliza hela zake bure,bwashee gani hata kujiongeza hawezi,kashapoteza rasilimali nyingi kwa sababu ya kuwekeza kwenye siasa sasa hv anataka kuzidi kupoteza mali nyingine tena,huyo wakili atamlia hela zake tu mwambie bora hizo hela akafungue biashara ya baa auze mbege.
Endelea kuweweseka tu
Ushahidi upo
Yeye mwenyewe n wakili
Sasa unasema huyo wakili anamlia hela
Hahaa
huku n kupanik
Tusiongee sana
Kesi iko mahakamani
tusubiri
na haki itatendeka.
Mfano mdogo tu
Rais alietoka madarakan n wa ccm
Na aliepo ni wa ccm
Lakin mabadiliko unayaona
Tuma ubongo kufikiri
hivi ile keso ya kutaka kulipuana bastola na Mama yake iliisha kweli? je utapeli wa magari siamini km atshinda hata 1020 CCM watafute mwingine tuUnauliza makabila unataka kutambika?
Badilika we
Tunamtaka huyo huyo tuliemchagua
Nae n jonas estomih Nkya
Ukabila peleka UKAWA