kafanye kazi acha unafiki.Kama ndio mawazo yako hayo
Subiri kilio kikuu
Haki ya mtu haipotei
God bless mikumi
God bless ccm
God blesd nkya
hapa kazi tu
Tulien nyie vijipu mtumbuliwe
We godfley unajulikana ni mtumishi wa halmashauri ya kilosa
Na ndio mliozipika hizo data
Ili muendelee kupiga dili za hapo halmashauri ya kilosa inayoongoza kwa hati chafu
Tunajua hamtaki nkya kwasababu ni wakili mnaogopa atakwamisha mambo yenu hapo
Tulieni hivo hivo hapo halmashauri
Jipu linatumbuliwa mda s mrefu
we hangaika lakini mwisho wake utavuna aibu ! ccm iibiwe kura ! nkya hawezi kumshinda profesa j hata mkipiga kura mara 100 .Ni ule wizi, ulaghai na usanii uliofanywa na mgombea wa UKAWA, Joseph Haule kwa kushirikiana na mkurugenzi wa Kilosa kwa kuedit fomu ya matokeo ya mkurugenzi ya ubunge halisi ya jimbo la Mikumi.Huku wakisahau kwamba kuna fomu zingine hubakia kwa kila karani wa chama cha siasa.Sasa ulaghai huo umepingwa mahakamani na wapenda haki tunasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka jimboni hapa mikumi.
Matokeo halisi ni mgombea wa CCM.
Wakili Jonas Nkya alimzidi msanii Joseph Haule kwa tofauti ya kura 1,130
#hatuwezi kuongozwa na mtu ambae hatukumchagua.
wala usihangaike mkuu , huyu navy boi ni mshika mafaili wa Nkya , sasa mashaka yake ni kibarua chake .Maana maccm yanawabagua wachagga wameru na watu wa kaskazini wanaita kila mtu mchagga(kama ni kamanda wa cdm)leo hii mnajeuka kumtaka mkaskazini naona akiwa ccm si mchagga na hatoki kaskazini-Napinga sana ukabila na ukanda ila nawakumbusha tu CCM na lugha zenu za chaggadema nk.Huyo Nkya angegombea CDM mngenza na mineno ya kibaguzibaguzi kama makaburu
Kwani wakati huyo Godfrey anapiga hizo pesa za Halmashauri Je ni nani alikuwa Mbunge wa Mikumi enzi hizo???
Je, huyu Nkya ataleta mabadiliko gani ikiwa wakati pesa zinatafunwa alikuwepo yule yule wa MFUMO CCM????
Acha kuweweseka wewe mwambieni anamaliza pesa zake bure za kustaafu, heri akalime Melela bado kuna mashamba
Hivi kweli unamtetea huyuhuyu aliyekuwa akinunua mitihani tukiwa pale MzumbeUsijali mkuu
Wataisoma namba kama kawaida
Endelea kuweweseka tu
Ushahidi upo
Yeye mwenyewe n wakili
Sasa unasema huyo wakili anamlia hela
Hahaa
huku n kupanik
Tusiongee sana
Kesi iko mahakamani
tusubiri
na haki itatendeka.
uliza watu wa moro mjini kuhusu wasifu wa huyo nkya na utapeli wa magari.huo uwakili wake kesi gani alishiriki na akashinda?
Ni ule wizi, ulaghai na usanii uliofanywa na mgombea wa UKAWA, Joseph Haule kwa kushirikiana na mkurugenzi wa Kilosa kwa kuedit fomu ya matokeo ya mkurugenzi ya ubunge halisi ya jimbo la Mikumi.Huku wakisahau kwamba kuna fomu zingine hubakia kwa kila karani wa chama cha siasa.Sasa ulaghai huo umepingwa mahakamani na wapenda haki tunasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka jimboni hapa mikumi.