kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
Kama ndio mawazo yako hayo
Subiri kilio kikuu
Haki ya mtu haipotei
God bless mikumi
God bless ccm
God blesd nkya
hapa kazi tu
Blesd = bless
Kama ndio mawazo yako hayo
Subiri kilio kikuu
Haki ya mtu haipotei
God bless mikumi
God bless ccm
God blesd nkya
hapa kazi tu
Endelea kuweweseka tu
Ushahidi upo
Yeye mwenyewe n wakili
Sasa unasema huyo wakili anamlia hela
Hahaa
huku n kupanik
Tusiongee sana
Kesi iko mahakamani
tusubiri
na haki itatendeka.
Kama ndio mawazo yako hayo
Subiri kilio kikuu
Haki ya mtu haipotei
God bless mikumi
God bless ccm
God blesd nkya
hapa kazi tu
Huyu jamaa bado hajaacha tu usanii usanii wake Moro? Alikuwa mwalimu wangu wa A'level.
Huyu jamaa bado hajaacha tu usanii usanii wake Moro? Alikuwa mwalimu wangu wa A'level.
Kaka huyo frank hugo ni wa ruaha au!
!
nani alikuwa mwalimu wa A level sasa kati ya hawa wawili........huyu mwingine hana ubavu wa kuwa mwalimu wa A level
Kwa hiyo mkurugenzi, mteule wa Rais aliwahujumu CCM wenzake?! Acheni kutafuta weak points za kuonea watu! Mbona hamjaenda kupinga Arumeru? Mnataka kumsumbua Joseph Haule. Kabla ya uchaguzi mlitukuana hapa mkisema hana elimu, hana uwezo; Sasa leo ameshinda, mnasema ameweza hadi kumrubuni mkurugenzi?!! What a shame?!
uyo Mkya anapoteza hela tu .........Jay wa mitulinga ndo habari ya mikumi....muache jay alete maendeleo mikumi adhihirishe wasanii wa hip hop.wanaweza
Una maana gani????
Ina maana CCM ni magufuli tu, kwani imekaa madarakani miaka 54, MBONA IMESHINDWA KUTEKELEZA AHADI ZAKE???
Ni kitu gani unaweza kutushawishi tuweze kuelewa kuwa mnaweza kuleta mabadiliko tunayohitaji???
Mlikaa mkatengeneza ILANI YA UCHAGUZI 2015 lakini imejaa ubabaishaji hakuna jipya katika ILANI ya CCM na ndio maana magufuli anatumia ILANI YA CHADEMA katika uongozi wake.
Hivyo tuna haki ya kusema kuwa Magufuli ni upande wa UKAWA na siyo CCM, Kwani angekuwa CCM angetekeleza ILANI ya CCM.
Soma hii:-
Huyu ni Nkya wa Lucy????????????? Yeye kabla ya kugombea alifanya kazi wapi? na mzazi wake naye alikuwa nani wakati huo,coz najaribu kuunganisha dots kulinganisha na Godfrey manake hawa watoto wa vibopa (kama ndiye) wana story behind tunazopaswa kuzisikia.
Wewe ni kipofu na una mtindio wa ubongo
Huenda Wewe sio mtanzania
Na hauishi hapa Tanzania
Pole sana dada