Jimbo la Mikumi kukombolewa

Jimbo la Mikumi kukombolewa

navy boi

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
1,520
Reaction score
482
Ni ule wizi, ulaghai na usanii uliofanywa na mgombea wa UKAWA, Joseph Haule kwa kushirikiana na mkurugenzi wa Kilosa kwa kuedit fomu ya matokeo ya mkurugenzi ya ubunge halisi ya jimbo la Mikumi.Huku wakisahau kwamba kuna fomu zingine hubakia kwa kila karani wa chama cha siasa.Sasa ulaghai huo umepingwa mahakamani na wapenda haki tunasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka jimboni hapa mikumi.

Matokeo halisi ni mgombea wa CCM.

Wakili Jonas Nkya alimzidi msanii Joseph Haule kwa tofauti ya kura 1,130

#hatuwezi kuongozwa na mtu ambae hatukumchagua.
 

Attachments

  • 1449263932077.jpg
    1449263932077.jpg
    41.9 KB · Views: 3,964
Ni ule wizi, ulaghai na usanii uliofanywa na mgombea wa ukawa joseph haule (profesa feki) kwa kushirikiana na mkurugenzi wa kilosa
Kwa kuedit fomu ya matokeo ya mkurugenzi ya ubunge halisi ya jimbo la mikumi
Huku wakisahau kwamba kuna fomu zingine hubakia kwa kila karani wa chama cha siasa..sasa ulaghai huo umepingwa mahakamani na wapenda haki tunasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka jimboni hapa mikumi.

Matokeo halisi ni mgombea wa ccm
Wakili jonas Nkya alimzidi msanii joseph haule kwa tofauti ya kura 1130

#hatuwezi kuongozwa na mtu ambae hatukumchagua.

Lakini Zanziba ni Halali CCM kubakia madarakani japokuwa wameshindwa? Ulimwengu mzima unawashangaa, usituambia ya Zanzibar hayawahusu, CCM ni moja tu na makao makuu yako Tananyika
 
Jamaa yako Nkya kashafukuzwa kazi mzumbe university sasa hivi anaweweseka na ubunge,mwambie anamaliza hela zake bure,bwashee gani hata kujiongeza hawezi,kashapoteza rasilimali nyingi kwa sababu ya kuwekeza kwenye siasa sasa hv anataka kuzidi kupoteza mali nyingine tena,huyo wakili atamlia hela zake tu mwambie bora hizo hela akafungue biashara ya baa auze mbege.
 
!
!
Huyu Nkya ana rafiki yake anaitwa #frenk hugo, tapeli balaaa
Ni ule wizi, ulaghai na usanii uliofanywa na mgombea wa ukawa joseph haule (profesa feki) kwa kushirikiana na mkurugenzi wa kilosa
Kwa kuedit fomu ya matokeo ya mkurugenzi ya ubunge halisi ya jimbo la mikumi
Huku wakisahau kwamba kuna fomu zingine hubakia kwa kila karani wa chama cha siasa..sasa ulaghai huo umepingwa mahakamani na wapenda haki tunasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka jimboni hapa mikumi..

Matokeo halisi ni mgombea wa ccm
Wakili jonas Nkya alimzidi msanii joseph haule kwa tofauti ya kura 1130

#hatuwezi kuongozwa na mtu ambae hatukumchagua.
 
jamaa yako nkya kashafukuzwa kazi mzumbe university sasa hv anaweweseka na ubunge,mwambie anamaliza hela zake bure,bwashee gani hata kujiongeza hawezi,kashapoteza rasilimali nyingi kwa sababu ya kuwekeza kny siasa sasa hv anataka kuzidi kupoteza mali nyingine tena,huyo wakili atamlia hela zake tu mwambie bora hizo hela akafungue biashara ya baa auze mbege

Endelea kuweweseka tu
Ushahidi upo
Yeye mwenyewe n wakili
Sasa unasema huyo wakili anamlia hela
Hahaa
huku n kupanik

Tusiongee sana
Kesi iko mahakamani
tusubiri
na haki itatendeka.
 
Wee nkya.. hesabu maumivu tu kaka.. mikumi huwezi kuipata kijanja janja.. umepigwa hvyo jipange na msimu ujao huu sio wako
 
Wee nkya.. hesabu maumivu tu kaka.. mikumi huwezi kuipata kijanja janja.. umepigwa hvyo jipange na msimu ujao huu sio wako

Kama ndio mawazo yako hayo
Subiri kilio kikuu

Haki ya mtu haipotei
God bless mikumi
God bless ccm
God blesd nkya

hapa kazi tu
 
Achilia mbali makaratasi feki mliyopeleka mahakamani, yan huyo jamaa hata uchaguzi ukirudiwa mara nne hawez kushinda.
 
Achilia mbali makaratasi feki mliyopeleka mahakamani, yan huyo jamaa hata uchaguzi ukirudiwa mara nne hawez kushinda.

Mnaisoma wenyewe #hapa kz tu, # unategemea huruma ya pilato wakati umegalagazwa?.. fyuuuuu

Tulien nyie vijipu mtumbuliwe

We godfley unajulikana ni mtumishi wa halmashauri ya kilosa
Na ndio mliozipika hizo data
Ili muendelee kupiga dili za hapo halmashauri ya kilosa inayoongoza kwa hati chafu

Tunajua hamtaki nkya kwasababu ni wakili mnaogopa atakwamisha mambo yenu hapo

Tulieni hivo hivo hapo halmashauri
Jipu linatumbuliwa mda s mrefu
 
nani anamhofia huyo wakili kanjanja tu? hata afanyeje hii kesi nakuapia hawezi shinda.. mwambie asipoteze muda..
 
Mnamkata profesa mnamlilia mchagga awatawale? kabila la watu wabinafisi na wenye ukabila.
 
uliza watu wa moro mjini kuhusu wasifu wa huyo nkya na utapeli wa magari.huo uwakili wake kesi gani alishiriki na akashinda?
 
Back
Top Bottom