ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo
Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee
Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa
Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi wasimrudishe bungeni
Baadaye Mpina akamjibu kuwa anafurahia kupandishwa cheo na kuitwa mbunge wa Taifa
Wananchi hawakufurahia kauli hiyo na mpaka Sasa kutoka Kwa karibu wa CCM Jimbo la Kisesa hakuna mwana CCM yeyote aliyebeba form
Hii ndo Kanda ya ziwa
Watu wana misimamo yao