Jimbo la Kigoma mjini na Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo)

Jimbo la Kigoma mjini na Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo)

Arch Barrel

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
533
Reaction score
1,225
Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT Wazalendo na CHAUMMA.

Kwa akili ya kawaida sioni ni nini CCM wamekilenga kwa Baba Levo zaidi ya kumpotezea muda, hela zake alizokusanya kwenye uchawa na kamali. Ni dhahiri kwamba jimbo la Jimbo la Kigoma Mjini linakwenda kwa Zitto Zuberi Kabwe.

Jimbo jingine ni jimbo la Tanga Mjini hili pia ni zawadi kwa CHAUMMA/ACT

Ushauri wangu kwa baba Levo, nakuomba sana usitoe hata mia yako kwa ajili ya kampeni. Hakuna unachoenda kupata zaidi ya umaarufu. Nakuomba tunza hela yako uliyoipata kwa kujidhalilisha usiwapelekee wahuni, wenzio wanaenda kupaua nyumba zao, wewe utarudi kuuza boma lako.
 
Nafikiri hao akina Ummy wanataman reform ifanyike ata wahamie CDM maana Tanga wanalia aliepata kura Moja ndo wamepewa eti
 

Attachments

  • IMG-20250824-WA0083.jpg
    IMG-20250824-WA0083.jpg
    100.1 KB · Views: 18
Na ukitegemea slow slow ameshasema mboga mboga na wauza urembo ni kitu kimoja basi tutegemee maigizo mengi kupita kiasi pale kigoma mjini
 
Back
Top Bottom