Jimbo la Iringa Mjini toka Msigwa amekuwa mbunge limepiga hatua zipi kimaendeleo

Ukiachana na kumuona kila mara kwenye media waziri kivuli wa mambo ya nje, na mbunge wa jimbo la jamhuri kupitia jimbo la iringa mjini ningependa kujua ni kwa namna gani jitihada zake zimewezesha kuchochea kasi ya maendeleo jimboni kwake.

Imebidi kuuliza hili swali kwani kwa kweli mbunge huyu yupo active sana kuaddress issues nyingi sana kwenye media zinazohusiana na Taifa letu pendwa.

Huyu ndugu hakuwa nyuma hata kwenye yale maigizo ya sakata la rushwa yaliyoibuliwa na wabunge wa arusha mjini na arumeru mashariki.

Kutokana na jitihada hizo za kuwa active sana kwenye vyombo vya habari sio vibaya akapimwa kwa level ya maendeleo iliyopo jimboni kwake.
Magufuli aliondoka chato ikiwa masikini leo mtu mzima uliyrpigwa stroke ya ubongo unaaminisha watu ataleta maendeleo si ujuha huu
 
sidhani hata ana kadispensari kakuonesha zaidi ya clip za press conference.
Ukoo wako unamiliki nini?Watu wenye fikra nyepesi hujadili watu,na wale wenye fikra ya kati hujadili matukio,bali wenye fikra pevu hujadili dhana.
 
Ukiachana na kumuona kila mara kwenye media waziri kivuli wa mambo ya nje, na mbunge wa jimbo la jamhuri kupitia jimbo la iringa mjini ningependa kujua ni kwa namna gani jitihada zake zimewezesha kuchochea kasi ya maendeleo jimboni kwake.

Imebidi kuuliza hili swali kwani kwa kweli mbunge huyu yupo active sana kuaddress issues nyingi sana kwenye media zinazohusiana na Taifa letu pendwa.

Huyu ndugu hakuwa nyuma hata kwenye yale maigizo ya sakata la rushwa yaliyoibuliwa na wabunge wa arusha mjini na arumeru mashariki.

Kutokana na jitihada hizo za kuwa active sana kwenye vyombo vya habari sio vibaya akapimwa kwa level ya maendeleo iliyopo jimboni kwake.
Kwani kama Mch. Msigwa asingekua Mbunge, jimbo lingekua halijapiga hatua zipi za kimaendeleo??
 
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi tu, sio kazi ya mbunge kujenga zahanati wala barabara siyo. Wenyejukumu la kujenga ni serikali maana yenyewe ndio huwa inakusanya kodi .return ya kodi ni maendeleo. Mtoa uzi hii ni civics ya form two! Kwa uzwazwa wako utauliza mbona msigwa hajaleta maendeleo na sisi tulize tangu nchi hii ipate uhuru mbona ccm haijaweza kuleta maendeleo kwa watu wake. Nenda mbagala, keko na kwinginepo kawaulize maji ya bomba waliyaona lini kule kuna vizima vya mpemba na huko ni jimbo la msigwa?
 
Hatua waliyopiga ni kukosanishwa na serikali ili waichukie
 
Ukiachana na kumuona kila mara kwenye media waziri kivuli wa mambo ya nje, na mbunge wa jimbo la jamhuri kupitia jimbo la iringa mjini ningependa kujua ni kwa namna gani jitihada zake zimewezesha kuchochea kasi ya maendeleo jimboni kwake.

Imebidi kuuliza hili swali kwani kwa kweli mbunge huyu yupo active sana kuaddress issues nyingi sana kwenye media zinazohusiana na Taifa letu pendwa.

Huyu ndugu hakuwa nyuma hata kwenye yale maigizo ya sakata la rushwa yaliyoibuliwa na wabunge wa arusha mjini na arumeru mashariki.

Kutokana na jitihada hizo za kuwa active sana kwenye vyombo vya habari sio vibaya akapimwa kwa level ya maendeleo iliyopo jimboni kwake.
Jimbo la Peramiho tekea Jenesta mhagama awe mbunge/waziri!, limepiga hatuwa gani?
 
Ukiachana na kumuona kila mara kwenye media waziri kivuli wa mambo ya nje, na mbunge wa jimbo la jamhuri kupitia jimbo la iringa mjini ningependa kujua ni kwa namna gani jitihada zake zimewezesha kuchochea kasi ya maendeleo jimboni kwake.

Imebidi kuuliza hili swali kwani kwa kweli mbunge huyu yupo active sana kuaddress issues nyingi sana kwenye media zinazohusiana na Taifa letu pendwa.

Huyu ndugu hakuwa nyuma hata kwenye yale maigizo ya sakata la rushwa yaliyoibuliwa na wabunge wa arusha mjini na arumeru mashariki.

Kutokana na jitihada hizo za kuwa active sana kwenye vyombo vya habari sio vibaya akapimwa kwa level ya maendeleo iliyopo jimboni kwake.
Nchi imekabidhiwa washamba.
 
Unao mfano wa jimbo lililopiga hatua kubwa za maendeleo ili watu wakusaidie kulinganisha?
Maana kila kitu relative.
 
Ww mpumbavu kweli unapima maendeleo mtu wa miaka kumi sawa na maendeleo ya mtu wa miaka 55
 
Hili boya kweli. Yaani jitahidi kulinganisha umri wako na mwanao kama umezaa
 
Ukiachana na kumuona kila mara kwenye media waziri kivuli wa mambo ya nje, na mbunge wa jimbo la jamhuri kupitia jimbo la iringa mjini ningependa kujua ni kwa namna gani jitihada zake zimewezesha kuchochea kasi ya maendeleo jimboni kwake.

Imebidi kuuliza hili swali kwani kwa kweli mbunge huyu yupo active sana kuaddress issues nyingi sana kwenye media zinazohusiana na Taifa letu pendwa.

Huyu ndugu hakuwa nyuma hata kwenye yale maigizo ya sakata la rushwa yaliyoibuliwa na wabunge wa arusha mjini na arumeru mashariki.

Kutokana na jitihada hizo za kuwa active sana kwenye vyombo vya habari sio vibaya akapimwa kwa level ya maendeleo iliyopo jimboni kwake.

Kwa uelewa wako kazi kuu ya mbunge ni nini? Labda tuanzie hapo
 
Hv mbunge ana maburungutu ya pesa kwa ajili ya jimbo au ni wakurugenzi wakiongozwa na wakuu wa mikoa na mawaziri wao, ulitambua hilo basi ndipo unatambua mbunge yupo kwenye kitibaridi au kitimoto, ni balaa yaani majimbo na manispaa zote zilizochini ya upinzani maendeleo ni ndoto, sina nyongeza....
 
ila msigwa hakuna kazi ya jimboni kwake ya muhimu anayofanya lakini nilivyoenda niliona wameweka taa za barabarani mji mzima pia kuna hospital na vituo vya afya vingi sana pia kuhusu shida ya usafiri hakuna kabisa ila nasikia ni kazi ya madiwani kumbuka iringa mjini diwani wa ccm ni mmoja tu.kiukweli kazi inayofanywa na halmashauri ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom