mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
Wanajf, salaam!!
Naona jimbo la Bukoba sasa liko as if hakuna Mbunge - Machinga pindi wanasumbuliwa hakuonekana, (tunashukuru JPM na timu ya CCM) kuturudishia maeneo,
Wakati wa tetemeko la ardhi timu ya CCM na wadau wengine ndio waliohangaika kusaidia majeruhi, waathirika - Mbunge haonekani,
Mvua zimenyesha na kuua watu - timu ya CCM na uongozi wa Mkoa ndiyo wamehangaikia janga hilo - Mbunge haonekani,
Mitaa ya Bukoba ni 66 kabla ya Bunge kuanza vikao vyake hakupita mitaani kupata kero za wananchi - sijui mchango wake Bungeni unahusu watu gani zaidi ya Bukoba Mjini,
Yaani, mengi ninayo lkn basi - bila shaka umefika wakati wa kumpiga chini 2020 ili CCM iweke kifaa kingine.
Hoja tu!!