MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
...Hatutaki Mbunge wa kuonyesha Picha zake za utupu Jukwaani, tunataka mbunge wa kutuwakilisha bungeni.
Tafiti yangu ya haraka niliyoifanya nikiwa arusha imenipa mjumuiko wa mtazamo wa wananchi walio wengi Arusha kuwa wamechoka uwakilishi uliopo madarakani na hauna manufaa kwa kwa namna yoyote kulinganisha na matumaini na ahadi hewa walizopewa na kiongozi aliyepo sasa.
Jimbo lipo wazi na mwakilishi mpya anahitajika 2015.
Kidumu chama cha mapinduzi
Lema yuko kwenye zama zake za mwisho kabisa za ubunge, vijana wanasema akagombee ubunge huko kwao machame, ili atuachie Arusha yetu ikiwa na amani kama alivyoikuta.
Dadangu mrembo Catherine Magige atachukua jimbo 2015. Anafanya vitu vizuri vya maendeleo
kidumu!
Ni binadamu lema ndiyo mtu ila si binadamu.
...Hatutaki Mbunge wa kuonyesha Picha zake za utupu Jukwaani, tunataka mbunge wa kutuwakilisha bungeni.
Hawa kadima watapoteza majimbo mengi sana siyo Arusha tu.
Mleta thread anapaswa kupelewa mirembe kwa lazima
Tafiti yangu ya haraka niliyoifanya nikiwa arusha imenipa mjumuiko wa mtazamo wa wananchi walio wengi Arusha kuwa wamechoka uwakilishi uliopo madarakani na hauna manufaa kwa kwa namna yoyote kulinganisha na matumaini na ahadi hewa walizopewa na kiongozi aliyepo sasa.
Jimbo lipo wazi na mwakilishi mpya anahitajika 2015.
Kidumu chama cha mapinduzi
Mleta thread anapaswa kupelewa mirembe kwa lazima
Najitahidi nisikutukane nakaribia kushindwa. Wacha nitoke. We semea huku lakini usithubutu kutamka haya Arusha. Utatutambua.