Jimama la Kitaa...

Jimama la Kitaa...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
........
attachment.php
 

Attachments

  • jimama.jpg
    jimama.jpg
    31.1 KB · Views: 1,413
Duh! hii mambo hii!? kaazi kwelikweli!
 
duh na mwenyewe kakenua hana hata shida hela izi jamani.
 
Fedha inaweza kufanya ukatembea na uniform ya Mungu!
 
mgagulo mchafu.

Mbavu zangu mie! Lol! Sijalisikia hilo neno miaka! Lakini mbona sioni gagulo lolote hapo? Hiyo inaitwa nyanyapuza a.k.a bwanga ila lina mpasuo. Ha ha ha ha ha aaaaa!
 
tz maadili kwishney, cjui tutakuwa na kizazi cha namna gani miaka 10 ijayo
 
hapo mwanae akifanya hivyo sijui atamchapa....:A S 39:
 
kiuno kampa mamake............jamani anaonyesha kipaji alichonacho......kunyanyua mguu hivo na unene wote huo si kazi ndogo ati!!!
ila mhhhhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom