mjizu123
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 349
- 370
#MaaShaAllah 

Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..
Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)
Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.
Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.
Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.
WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU
KARIBU KATIKA UISLAMU